Waandishi wa habari wasifia Ziara ya Uturuki ya mbio za baiskeli

Waandishi wa habari wa kimataifa wanaoendesha baiskeli wamesifu Ziara ya Rais wa Baiskeli ya Uturuki ya miaka 60 kama tukio la aina yake katika jukwaa la kimataifa.
4 Mei, 2025
Makubaliano ya Somalia na Uturuki kuhusu haidrokaboni njia nzuri ya matumizi ya raslimali- waziri

Waziri anayesimamia masuala ya mafuta na madini nchini Somalia anasema ana imani kuwa ushirikiano huo utathibitisha uwezo wa upatikanaji wa gesi hiyo kwa ajili ya biashara.
3 Mei, 2025
Uturuki yalaani shambulizi dhidi ya meli ya Flotilla

Ankara imekosoa shambulizi dhidi ya chombo hicho kilichokuwa kinamilikiwa na Umoja wa Uhuru wa Flotilla.
2 Mei, 2025
Maonyesho ya TeknoFest 2025 yaanza Cyprus Kaskazini

Zaidi ya watu 47,000 kutoka nchi 22 walituma maombi ya kushiriki katika mashindano ya mwaka huu.
2 Mei, 2025

Mkuu wa Mawasiliano wa Uturuki Altun aadhimisha miaka 61 ya shirika la utangazaji la TRT

Ankara inataka Syria kuungwa mkono kipindi cha mpito na kuondolewa vikwazo

Erdogan apongeza uhusiano imara kati ya Uturuki na Italia, aashiria shirika katika Afrika na usalama

Sekta ya utalii ya Uturuki imeweka rekodi ya kupata mapato ya dola bilioni 135 mwaka 2025

Wanasayansi wa Kituruki waunda programu inayotumia sauti kutambua saratani ya mapafu mapema
27 Aprili, 2025
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Hakan Fidan aelekea Qatar kwa mazungumzo kuhusu Gaza
Waziri Fidan atakutana na amir na waziri mkuu wa Qatar ili kuimarisha ushirikiano wa pande mbili na kuratibu diplomasia ya kikanda huku kukiwa na mzozo wa Gaza.

27 Aprili, 2025
Spika wa bunge la Uturuki ahudhuria mazishi ya Papa Francis huko Vatican
Zaidi ya watu 250,000, ikiwa ni pamoja na viongozi mbalimbali wa dunia, familia ya kifalme, walihudhuria mazishi ya papa.

26 Aprili, 2025
Rais wa Uturuki, waziri mkuu wa New Zealand wajadili uhusiano wa pande mbili huko Istanbul
Mkutano katika Ofisi ya Rais ya Dolmabahce pia unashughulikia masuala ya kikanda na kimataifa.

25 Aprili, 2025
Erdogan: Uturuki iko tayari kuandaa michezo ya Olimpiki wakati UEFA ikifungua ofisi zake Istanbul
Rais wa Uturuki ameeleza sifa za taifa lake katika suala la michezo duniani wakati wa hafla ya maandalizi ya mechi za Euro 2032.

23 Aprili, 2025
Uturuki inasherehekea siku ya Uhuru na Siku ya Watoto, ikiwa pia ni siku ya kuanzishwa kwa Bunge
Huku sauti za watoto zikirindima kote nchini, Uturuki inaadhimisha kuanzishwa kwa bunge pia, ambapo mbegu ya uhuru ilipandwa na kutoa fursa kwa vizazi vya baadaye.

23 Aprili, 2025
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.2 lapiga Istanbul, hakuna madhara yaliyoripotiwa
Tetemeko la ardhi Istanbul. Nawatakia mema raia wetu, na tunafuatilia kwa karibu yanayojiri, amesema Rais Recep Tayyip Erdogan

23 Aprili, 2025
Uturuki inatoa salamu za rambirambi kwa wahanga wa shambulio la Kashmir
Watu wenye silaha waliwafyatulia risasi watalii huko Pahalgam, na kusababisha vifo vya takriban watu 26.

23 Aprili, 2025
Rais Erdogan wa Uturuki apongeza msimamo thabiti wa Pakistan kuhusu Gaza
“Pakistani ni mojawapo ya nchi ambazo zilijibu kwa nguvu zaidi mauaji ya halaiki huko Gaza,” anasema Recep Tayyip Erdogan.

22 Aprili, 2025
Algeria inalenga kuimarisha kiwango cha biashara na Uturuki hadi dola Bilioni 10-Waziri wa Algeria
Mawaziri wa mambo ya nje wa Algeria, Uturuki wenyeviti wenza waratibu mkutano wa tatu wa mipango kati ya Uturuki na Algeria.

21 Aprili, 2025
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan akutana na ujumbe wa Hamas kujadili kusitisha mapigano Gaza
Ankara inataka mwitikio mkubwa wa kimataifa kwa vikwazo vya Israel dhidi ya Gaza na inathibitisha kuunga mkono maridhiano ya Wapalestina katika mazungumzo ya ngazi ya juu na uongozi wa Hamas.


