Afrika

Iran yaishukuru Tanzania kwa salamu za pole

Ametoa salamu za rambirambi kwa niaba ya serikali ya Tanzania na Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei aliyeuawa katika shambulizi la pamoja kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran Februari 28.

Newstimehub

Newstimehub

5 Mechi, 2026

b7ae8ddf1f8d7b8531a9ec4dd21ba78198b0e2a078c328ecae556e87840e4306

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Thabit Kombo akiwa pamoja na viongozi wa Ubalozi wa Iran nchini Tanzania. Waziri Kombo aliwasili katika Makazi ya Balozi wa Iran ndani ya ofisi ya Ubalozi wa Iran uliopo jijini Dar es Salaam.

Ametoa salamu za rambirambi kwa niaba ya serikali ya Tanzania na Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei aliyeuawa katika shambulizi la pamoja kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran Februari 28.

Kiongozi huyo pia aliuawa akiwa na baadhi ya wanafamilia wake pamoja na maafisa waandamizi wa jeshi.

Kwa upande wake, Iran imeishukuru Tanzania kwa salamu zake za pole.