8 Agosti, 2026

Tanzania na Uganda zakubaliana kujenga kituo cha kikanda cha nishati jijini Tanga

Kituo hicho kinachopendekezwa kinatarajiwa kuhusisha miundombinu ya kuhifadhi na kusafisha mafuta, biashara na usambazaji wa mafuta, pamoja na mabomba na vifaa vingine vya mafuta na gesi.

5a4e0b95 0cc5 4861 80d4 19f37950c2f7 1786177101684

8 Agosti, 2026

Rais wa Tanzania Samia atangaza uchunguzi mpya kuhusu machafuko ya baada ya uchaguzi

Rais Samia Suluhu Hassan alisema tume hiyo mpya imepewa muda wa awali wa miezi mitano kukamilisha kazi yake na kuwasilisha ripoti yake.

aa7d16b7 13b7 4f5d 96ea 608e44c2cd6f 1786129799588

7 Agosti, 2026

Rais Samia wa Tanzania atoa onyo dhidi ya uharibifu wa mali za umma

Rais Samia amesema serikali inatumia fedha nyingi kujenga miundombinu.

7538699f 2452 4384 8121 62b473a3bb63 1786129454069

7 Agosti, 2026

Tanzania kukutanisha wadau watakaojadili changamoto za Mto Nile

Jukwaa hilo litawakutanisha serikali, watunga sera, watafiti, sekta binafsi, mashirika ya kiraia na washirika wa maendeleo kujadili usimamizi wa pamoja wa maji, uhifadhi wa mazingira na maendeleo endelevu.

62d4c4b5 19c3 4456 9218 fde2da8818bb 1786107128869

7 Agosti, 2026

Rwanda yapokea wakimbizi wa kisiasa 177 kutoka Libya

Uhamisho wa wakimbizi hao wa kisiasa ni sehemu ya makubaliano kati ya UNHCR na Umoja wa Afrika, kwa lengo la kuwaisaidia wakimbizi waliokwama Libya.

d8abc9fb 04cb 4218 a0ae 9e2118364f5a 1786099916562

7 Agosti, 2026

Mlipuko wa Ebola DRC wazidi maambukizi 4,000

Wataalamu wanaeleza kuwa hii ni kutokana na kuchelewa kubaini, kuzidiwa katika uchunguzi na mapigano ya kijeshi kama baadhi ya sababu ambazo zimekwamisha juhudi za kukabiliana na ugonjwa huo.

2cd4c428 2381 450e a197 c4ccf11b6ff4 1786095337074

6 Agosti, 2026

Bunge la Uganda lapitisha ombi la serikali kupeleka wanajeshi Gaza

Bunge la Uganda limeidhinisha kupelekwa kwa wanajeshi wa nchi hiyo Gaza kama sehemu ya Kikosi cha Kimataifa.

e6e13b6c ca63 4464 a3c3 b42b509b264c 1786034172243

6 Agosti, 2026

Kamati ya majadiliano ya Libya yaanza mchakato wa kumteua mkuu wa tume ya uchaguzi

Kamati hiyo inataka kuwa na mfumo ambao utakubalika kitaalamu na kisiasa kwa uchaguzi wa urais na bunge.

9836d109 0aab 483c 94f4 b3896e68b689 1786021213088

6 Agosti, 2026

Taasisi ya kupambana na rushwa Nigeria yafungia akaunti za serikali ya jimbo

Hatua hii imezidisha msuguano kati ya taasisi hiyo ya serikali kuu na ile ya Jimbo la Osun, ambayo imeshtumu EFCC kwa kufanya kazi nje ya misingi ya kisheria

ffb9aa6f 38b6 4249 ab97 1fcf1dd20967 1786007999955

6 Agosti, 2026

Rwanda yafunga zaidi ya viwanda 130 vya pombe haramu

Kwa mujibu wa Utafiti wa Saba wa Demografia na Afya wa Rwanda, asilimia 15 ya wanaume na asilimia 7 ya wanawake hunywa pombe kila siku.

5cd38795 7190 476b b25a 9616ebea8765 1786002631472
Inapakia...