Ulimwengu

Shambulio lililotokea Boulder, Colorado lisababisha majeruhi wengi
Mkuu wa Polisi wa Boulder Stephen Redfearn hakuliita shambulizi la kigaidi kwa wakati huu, wakati FBI inaelezea kama hivyo.
Wakati wa sherehe kote nchini, raia 192, polisi 22 na wazima moto saba pia walijeruhiwa.
Kremlin imesema bado hakuna mpango wa mazungumzo kwa njia ya simu kati ya Putin na Trump.
Katika matukio ya ajabu, ndege ya Hajj inayokwenda Saudia Arabia ililazimu kugeuka mara mbili baada ya kijana mmoja kutoka Libya kutoruhusiwa kupanda ndege.
Afrika

Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda nchini Congo waliwaua raia, Human Rights Watch inasema
Hatua hiyo ambayo haijawahi kushuhudiwa imeua maelfu ya watu na kuwalazimu mamia ya maelfu kukimbia.
Jaji Modibo Sacko wa Mali amechaguliwa kuwa rais mpya wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR).
Afrika Kusini ilisema itapitia sheria zake za sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano lakini haitarudi nyuma kwenye sera za serikali za kubadilisha uchumi miongo mitatu baada ya utawala wa wazungu wachache kumalizika.
‘Jaribio la wapiganaji magaidi’ kutaka kuingia katika kambi ya jeshi ya Timbuktu lilitibuliwa, na hali sasa imetulia na ‘imedhibitiwa,’ Jeshi la Mali lilisema
Michezo