11 Julai, 2026

Uturuki inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 31 ya mauaji ya halaiki ya Srebrenica

Duran anawaenzi zaidi ya waathiriwa 8,000 wa Kibosnia, akisisitiza tena ahadi ya Uturuki ya kuwaunga mkono wanaokandamizwa kote duniani.

316f1569 47ef 4f76 98fa 5edfaefbfebd 1776339954037

7 Julai, 2026

Usalama wa Ulaya hauwezi kufungiwa ndani ya EU, asema Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan

Fidan anasema Uturuki ina jukumu muhimu katika usalama wa Ulaya na anahimiza ushirikiano mpana zaidi wa ulinzi wa NATO unaovuka mipaka ya Umoja wa Ulaya.

234dd10c5c3657891efa13b1c57f22e9f98af44d0709e5afb2b1b6f2e0bbc3b9

4 Julai, 2026

Rais wa Uturuki Erdogan amempokea Waziri Mkuu wa Pakistan Sharif mjini Istanbul

Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Uturuki na Pakistan unatarajiwa kukutana kufuatia mazungumzo ya pande mbili.

844b0ab90bd700b0074fb810abfdaa10a5b2d13ecbe1da1ac7c8114813bdbca3

3 Julai, 2026

Erdogan na Meloni wajadili kuimarisha ushirikiano wa ulinzi kabla ya mkutano wa NATO jijini Ankara

Rais wa Uturuki amesema nchi yake inalenga kuimarisha ushirikiano na Italia, hususan katika sekta ya ulinzi, kabla ya mkutano wa viongozi wa NATO utakaofanyika nchini jijini Ankara, Uturuki.

bd70625e8796d01bc5e460d894564fed82b1fd37eb18d79e986ed1cbc419a1c0

30 Juni, 2026

Rais Erdogan aishutumu Israel kwa tuhuma za uongo dhidi ya Uturuki

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema historia ya Uturuki inajumuisha sifa ya kuwapa hifadhi watu waliokimbia mateso ya Wanazi.

e1ceabb39623bdb581e740284978bdd78972b76a3cc5a40909c9f1f17d5d44bf

29 Juni, 2026

Uturuki ni muhimu kwa NATO na usalama wa kikanda: Kallas wa EU

Mkuu wa sera ya mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya (EU), Kaja Kallas, ametoa wito wa kuimarishwa kwa umoja ndani ya NATO, ushirikiano wa karibu zaidi katika masuala ya ulinzi, na ushirikiano wa karibu na Uturuki kabla ya mkutano ujao wa muungano huo.

28ae84cd0687fb3f644372902b2f9c3ca55a489263d4a907eae80d5b4833a172

28 Juni, 2026

Uturuki inahimiza hatua madhubuti dhidi ya wahusika wa nje wanaounga mkono RSF nchini Sudan

Balozi wa Uturuki mjini Khartoum Fatih Yildiz anasema mashambulizi ya hivi karibuni ya RSF huko El-Obeid ni ya kutisha hhuku akiangazia ujenzi mpya, fursa za uwekezaji nchini Sudan.

dceed0f607da02dd88a19fc71885e58a17d5eeb72357bd2c547e59c5ef230181

16 Juni, 2026

Somalia imepokea vifaa vya kisasa kutoka Uturuki kukuza ukulima

Somalia imepokea vifaa vya kisasa kutoka Shirika la Ushirikiano na Uratibu la Uturuki la TIKA siku ya Jumapili kwa ajili ya kuboresha na kusasisha shughuli za ukulima na umwagiliaji katika Wizara.

1766835232077 zbhmfy 74cc4a859990084c34844c5a21a55b6318aba280d0eddbbef14032d263b680da main

19 Mei, 2026

Waturuki walio diaspora ni muhimu kwa ushawishi unaokua wa Uturuki duniani, anasema balozi

Sedat Onal anasema ugeni mkubwa wa Wauruki nchini Marekani umesaidia nchi hiyo kuwa “mshiriki wa kimataifa ambaye sauti yake inasikika,” akizungumza katika Gwaride la 43 la Siku ya Uturuki huko New York.

1779007253375 d9zl9xq 234d9ff04e85f22ce0ca1b76351c03adc71f0952140baa1cb7d08e33f18c40f5 main

13 Mei, 2026

Uturuki yapinga madai “yasiyo na msingi kabisa” ya kuingilia siasa za Somalia

Uturuki imesema kuwa ushirikiano wake na Somalia unalenga kuimarisha taasisi za usalama wa taifa na kuboresha uwezo wa kupambana na ugaidi nchini kote.

3cf21a339988934bdb2b95a5891212ec12619402fd29b67cd5a74e8868173ff1
Inapakia...