Korea Kaskazini yasema itaendelea kuzalisha silaha za kinyuklia

Msimamo huo unakuja baada ya Korea Kaskazini kufanya majiribio ya makombora kadhaa, kupima uwezo wake.
24 Septemba, 2026
Jeshi la Israel lalipua makazi ya mfungwa wa Kipalestina

Mashuhuda walisema kuwa, wanajeshi hao walivamia mji huo na kuanza kushambulia makazi ya Dawas Hassoun, na kusababisha uharibifu mkubwa, siku ya Jumatano jioni.
24 Septemba, 2026
Wanafunzi warejea mashuleni baada ya vita kumalizika Iran

Hatua hiyo, inafuatia kusitishwa kwa shughuli za masomo nchini Iran, toka kuanza kwa vita hivyo, Februari 28 mwaka huu.
23 Septemba, 2026
Ujerumani yagomea wito wa Trump wa kujiondoa ICC

Kauli ya Ujerumani, inakuja siku moja baada ya rais Trump, kuiita ICC, “kikundi cha watu wabaya”, wakati akifungua majadiliano ndani ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akiyataka mataifa mbalimbali duniani, kujitoa kwenye mahakama hiyo.
23 Septemba, 2026

Qatar yataka mfumo wa usalama kati ya nchi za Ghuba na Iran kufuatia mzozo unaoendelae

Trump kutolishambulia kundi la Wa-Houthi kwa sasa: Gazeti la NYT

Italia inapanga kupiga marufuku kufunika uso shuleni na kuweka kikomo kwa wanafunzi wa kigeni

Jeshi la Marekani linakadiria gharama ya vita dhidi ya Iran kuwa Dola bilioni 43.6

Trump atia saini mswada wa vikwazo dhidi ya Urusi: China na India zakabiliwa na uwezekano wa ushuru
17 Septemba, 2026
Kaka wa Princes Diana ‘amshukia’ Mfalme Charles III kwa kufurahia kifo cha dada yake
Kupitia kitabu chake kipya, Charles Spencer anadai kuwa, Mfalme Charles III, alikuwa ni mtu mwenye furaha, usiku wa ajali iliyochukua uhai wa Diana, ambaye aliwahi kuwa mke wake.

17 Septemba, 2026
Mtu mmoja afa kwa ugonjwa wa Malaria nchini Ujerumani
Mwezi uliopita, wafanyakazi sita wa uwanja wa ndege wa Frankfurt waliugua ugonjwa wa Malaria, huku wawili wakipoteza maisha.

17 Septemba, 2026
Trump: Iran imewasiliana moja kwa moja na Marekani, inataka kufikia makubaliano
Rais Trump amesema Iran imewasiliana moja kwa moja na Marekani ikitaka kufanya mazungumzo ya kufikia makubaliano, huku Marekani na Iran zikiendelea kutofautiana kuhusu Mlango-Bahari wa Hormuz.

16 Septemba, 2026
Marekani yaingia mkataba wa kuvuna mafuta na dhahabu ya Venezuela
Mkataba huo, unasainiwa baada ya serikali ya Marekani kumuondoa madarakani Rais Nicolas Maduro, mwezi Januari mwaka huu.

16 Septemba, 2026
Pakistan yalaani “jaribio la shambulio la droni” karibu na Makkah
Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif, ameunga mkono Saudi Arabia baada ya mifumo yake ya ulinzi wa anga kuizuia droni karibu na mji mtakatifu wa Makkah, huku akitoa wito wa kujizuia kutokana na kuongezeka kwa mvutano katika eneo hilo.

15 Septemba, 2026
Kim Jong Un atangaza kumuunga mkono Putin
Ushirikiano kati ya mataifa hayo, umeendelea kuongezeka tangu mataifa hayo yalipokubaliana kushirikiana, mwezi Juni 2024.

15 Septemba, 2026
Iran yaweka mpango wa dharura kukabiliana na vita, usitishaji mapigano na kipindi cha baada ya vita
Maelekezo hayo yanataka hatua tofauti zichukuliwe na umma pamoja na taasisi, kutegemea iwapo mapigano yataendelea, yatasitishwa kwa muda au yatafikia mwisho.

14 Septemba, 2026
Iran, UAE zakubaliana kuboresha uhusiano na kuimarisha ushirikiano: Pezeshkian
Rais wa Iran amesema mazungumzo yake na Mwanamfalme wa Abu Dhabi yalilenga mustakabali wa uhusiano kati ya nchi hizo pamoja na maendeleo ya kikanda.

11 Septemba, 2026
Trump ahusisha mashambulizi ya 9/11 na vita dhidi ya Iran
Waziri wa Ulinzi Hegseth pia aishambulia Iran kwa maneno katika sherehe za Pentagon

11 Septemba, 2026
Korea Kusini: Hatujaamua bado kuhusu kutuma vikosi katika Mlango-Bahari wa Hormuz
Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini, Cho Hyun, amemweleza mwenzake wa Iran kwamba Korea Kusini inaunga mkono hatua za kuhakikisha meli zinaweza tena kupita kwa usalama katika njia hiyo muhimu ya kimkakati.



