30 Aprili, 2026

Zaidi ya Watu 30 Wahofiwa Kufa Maji Baada ya Boti Kuzama Uganda

Ajali hiyo ilitokea Ziwa Nguse huku manusura wakihusisha tukio na kuzidishwa kwa abiria kupita uwezo wa boti.

746

30 Aprili, 2026

Turkish Airlines Kurejesha Safari za Damascus, Beirut na Amman Mei Mosi

Shirika hilo lasema usalama wa anga umeimarika baada ya kusitisha safari tangu Februari kutokana na tahadhari za kiusalama.

745

30 Aprili, 2026

Madagascar Yamshikilia Raia wa Ufaransa Kwa Tuhuma za Kuchochea Machafuko

Mamlaka za Madagascar zimemkamata raia wa Ufaransa kwa tuhuma za kupanga njama za kuvuruga amani nchini humo.

92b26890 43ea 11f1 9113 1988573e8ff7.jpg

29 Aprili, 2026

Ufaransa Yawashauri Raia Wake Kuondoka Mali Haraka Kufuatia Mashambulizi Makali

Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa yatangaza onyo la usalama kutokana na hali ya hatari inayoongezeka nchini Mali.

737

29 Aprili, 2026

Rais wa Burundi Amfuta Kazi Waziri wa Miundombinu Baada ya Miezi Mitatu Pekee

Damien Niyonkuru aondolewa ghafla huku serikali ikikabiliwa na lawama za ucheleweshaji wa miradi ya umma na matatizo ya mafuta.

730

28 Aprili, 2026

UAE Yaondoka OPEC Katika Hatua Kubwa ya Soko la Mafuta Duniani

Falme za Kiarabu zimetangaza kujiondoa OPEC kuanzia Mei 1, hatua inayoweza kubadilisha mwelekeo wa soko la mafuta duniani.

b07940f0 4305 11f1 bd52 e755d604ece4.jpg

28 Aprili, 2026

Zimbabwe Yatuma Shehena ya Kwanza ya Lithium Sulphate Iliyosindikwa Ndani ya Nchi

Hatua hiyo ya kihistoria yafuatia marufuku ya kusafirisha madini ghafi na mageuzi ya kuongeza thamani ya rasilimali.

724

28 Aprili, 2026

Ndege ya Rais wa Israel Yachukua Njia Ndefu Kwenda Kazakhstan Baada ya Kuepuka Anga ya Uturuki

Safari ya Isaac Herzog yaongezeka hadi saa nane kufuatia kubadilishwa kwa njia ya ndege kuelekea Astana.

716

27 Aprili, 2026

Watu 14 Wafariki Katika Ajali ya Ndege Karibu na Juba, Sudan Kusini

Ndege ndogo yaanguka dakika chache baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juba.

714

27 Aprili, 2026

DR Congo Yaadhimisha Miaka 10 Tangu Kifo cha Mwanamuziki Nguli Papa Wemba

Mashabiki na viongozi waungana kumuenzi “Mfalme wa Rumba Rock” miaka kumi baada ya kifo chake jukwaani.

713
Inapakia...