Afrika

Mali yawatia nguvuni wanajeshi, raia wa Kifaransa kwa kuvuruga amani nchini humo

Kati ya waliokamatwa, ni pamoja na raia wa Ufaransa, aliyetambulika kama Yann Vezilier.

Newstimehub

Newstimehub

15 Agosti, 2025

458ffe4ad2b5419b37e203e378f00529f7dd81a01d42d13282b78b43a26b3f5e

Serikali ya kijeshi ya Mali imewakamata majenerali wawili na raia mmoja wa Kifaransa kwa tuhuma za kuvuruga amani nchini humo, chombo cha habari cha Mali kimesema.

Vyanzo mbalimbali viliieleza Reuters kuwa zaidi ya wanajeshi 30 walimetiwa nguvuni kwa tuhuma za kuhusika na uvuragaji amani nchini Mali.

Kati ya waliokamatwa, ni pamoja na raia wa Ufaransa, aliyetambulika kama Yann Vezilier.