Mchezaji wa Misri Salah ashinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka England

Mohamed Salah amepata tuzo hiyo baada ya kufunga mabao 28 na kutoa ‘assists’ 18 kwa timu yake ya Liverpool katika Ligi Kuu ya England msimu huu.
9 Mei, 2025
Inzaghi ajivunia kuzicharaza timu mbili bora Ulaya kabla ya kufika fainali

Katika robo fainali, Inter waliwatupa nje Bayern Munich ya Ujerumani, kabla ya kuwazidi Barcelona kwenye nusu fainali.
7 Mei, 2025
Fifa yaiadhibu klabu ya Kenya Muhoroni Youth kwa kupanga matokeo

Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka duniani FIFA imeipata na makosa timu ya Kenya Muhoroni Youth kwa “kuhusika na vitendo vya kupanga matokeo ya mechi”.
3 Mei, 2025
Lamine Yamal:’Mchezaji wa kipekee anayezaliwa baada ya kila miaka 50 tu’

Barcelona imemmwagia sifa mchezaji Lamine Yamal baada ya mchezo mzuri licha ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 kukataa kufananishwa na mchezaji bora Lionel Messi.
1 Mei, 2025

Arsenal kuvaana na PSG nusu fainali ya kwanza

Mkenya Sabastian Sawe ashinda dhahabu London Marathon huku Kipchoge akimaliza wa 6

Liverpool ‘kufunga kazi’ Jumapili?

Mchezaji soka wa Afrika Kusini afariki kabla ya mechi yao ya ligi

Mkenya John Korir ashinda mbio za Boston, Mtanzania ni wa pili
21 Aprili, 2025
Virgil van Dijk aongeza mkataba Liverpool hadi 2027
‘Nina furaha sana, najisikia fahari,’ alisema mchezaji huyo raia wa Uholanzi mwenye umri wa miaka 33

21 Aprili, 2025
Onana kurejea golini katika mechi ya Man Utd dhidi ya Lyon – Amorim
Onana alifanya makosa mawili katika mechi ya robo fainali ya kwanza nchini Ufaransa ambapo walitoka sare ya 2-2.

21 Aprili, 2025
Real Madrid itafanikiwa kupindua meza Ulaya?
Real Madrid ya Hispania itakuwa ina nafasi ya kujiuliza mbele ya Arsenal ya Uingereza, katika ‘Usiku wa Ulaya’, baada ya kubugizwa mabao 3-0 na vijana wa Mikel Arteta kwenye mchezo wao wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

21 Aprili, 2025
Nyota wa Real Madrid Luka Modric ajiunga na Swansea FC kama mmiliki mwenza
Modrić ndiye mchezaji aliyeichezea timu yake ya taifa ya Croatia mara nyingi zaidi, ana umri wa miaka 39, na msimu huu pekee amecheza mechi 45 akiwa na Real Madrid, na kufunga magoli manne.
