22 Mei, 2025

Luka Modric kuachana na Real Madrid baada ya fainali za Kombe la Dunia kwa upande wa klabu

Mcroatia huyo ameichezea Real Madrid jumla ya mechi 600 toka alipojiunga nao mwaka 2012, akitokea Tottenham ya Uingereza.

luka 20modric 1 2 3

22 Mei, 2025

Wachezaji wa Tottenham wakosa medali baada ya ushindi wao wa Ligi ya Europa

Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Aleksander Čeferin alionekana kushangazwa wakati medali zilipoisha kabla wachezaji wote wa Tottenham kupata baada ya ushindi wao wa 1-0 dhidi ya Manchester United.

hotspu

19 Mei, 2025

Galatasaray yaweka historia kwa kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya Uturuki mara ya 25

Galatasaray sasa wataongeza nyota tano kwenye jezi zao, kila nyota moja inawakilisha mataji matano.

osimhen

15 Mei, 2025

Osimhen avunja rekodi Uturuki huku Galatasaray ikichukua ubingwa wa kombe la nchi hiyo

Mabao mawili ya mchezaji wa Nigeria Victor Osimhen katika kipindi cha pili yalimpa jumla ya magoli zaidi ya 34 ambayo ndiyo iliyokuwa rekodi iliyowekwa na mchezaji wa zamani wa Galatasaray Mario Jardel katika msimu wa 2000/01.

1747292911504 k7ksd aa 37954279

9 Mei, 2025

Mchezaji wa Misri Salah ashinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka England

Mohamed Salah amepata tuzo hiyo baada ya kufunga mabao 28 na kutoa ‘assists’ 18 kwa timu yake ya Liverpool katika Ligi Kuu ya England msimu huu.

mo 20salah

7 Mei, 2025

Inzaghi ajivunia kuzicharaza timu mbili bora Ulaya kabla ya kufika fainali

Katika robo fainali, Inter waliwatupa nje Bayern Munich ya Ujerumani, kabla ya kuwazidi Barcelona kwenye nusu fainali.

italy soccer champions league 28202

3 Mei, 2025

Fifa yaiadhibu klabu ya Kenya Muhoroni Youth kwa kupanga matokeo

Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka duniani FIFA imeipata na makosa timu ya Kenya Muhoroni Youth kwa “kuhusika na vitendo vya kupanga matokeo ya mechi”.

ball 20image

1 Mei, 2025

Lamine Yamal:’Mchezaji wa kipekee anayezaliwa baada ya kila miaka 50 tu’

Barcelona imemmwagia sifa mchezaji Lamine Yamal baada ya mchezo mzuri licha ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 kukataa kufananishwa na mchezaji bora Lionel Messi.

yamal 201

30 Aprili, 2025

Arsenal kuvaana na PSG nusu fainali ya kwanza

Timu ya Arsenal itakuwa katika uwanja wake wa nyumbani wakiwa wenyeji wa nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya mabingwa Ulaya tangu mwaka 2009. Jumanne usiku watapambana na Paris Saint-Germain.

arsenal 20training 20

27 Aprili, 2025

Mkenya Sabastian Sawe ashinda dhahabu London Marathon huku Kipchoge akimaliza wa 6

Mwanariadha wa Kenya Sabastian Sawe ameshinda mbio za marathon za London kwa wanaume kwa muda wa saa 2 dakika 02 na sekunde 27 siku ya Jumapili, huku mwenzake Eliud Kipchoge akiibuka wa sita.

fab 1 2 3
Inapakia...