Afrika Siasa

Kiongozi mkongwe William Lukuvi afariki dunia Dodoma

Rais Samia atangaza kifo chake na kuelezea mchango wake mkubwa kwa taifa.

Newstimehub

Newstimehub

25 Mechi, 2026

0de167270a08d9ff14f91d633d88c0384a615c512dfa71b65abc2e962395a61c

Mbunge wa Jimbo la Isimani na kiongozi wa muda mrefu serikalini, William Lukuvi, amefariki dunia asubuhi ya Machi 25, 2026 akiwa hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Taarifa za kifo chake zimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Katibu Mkuu Kiongozi.

Rais Samia amemuelezea Lukuvi kama kiongozi mwenye uzoefu mkubwa, aliyejitolea kwa dhati kulihudumia taifa. Ameeleza kuwa mchango wake katika maendeleo ya nchi utaendelea kukumbukwa kwa vizazi vijavyo.

CHANZO: TRT Afrika