Rwanda Yarudisha Kwenye Jamii Wapiganaji wa Zamani 214 Kutoka DR Congo

Rwanda imewakaribisha na kuwarejesha katika jamii wanachama 214 wa zamani wa makundi yenye silaha waliotoka DR Congo.
3 Aprili, 2026
Traoré wa Burkina Faso Ahamasisha Kuachana na Demokrasia

Kiongozi wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré, ametoa wito wa kubadilisha mfumo wa utawala na kuachana na demokrasia ya sasa.
3 Aprili, 2026
UN Yamtaja Garry Conille Kuwa Mratibu Mkazi Kenya

Umoja wa Mataifa umemteua aliyekuwa Waziri Mkuu wa Haiti, Garry Conille, kuwa Mratibu Mkazi nchini Kenya.
2 Aprili, 2026
Trump aibeza NATO, asema ni “dhaifu japo inaonekana kuwa na nguvu”

Rais wa Marekani aonyesha mashaka makubwa kuhusu muungano huo wa kijeshi.
1 Aprili, 2026

Uturuki yalaani sheria ya hukumu ya kifo ya Israel dhidi ya Wapalestina

Trump Adai Ufaransa Ilikataa Ndege za Kijeshi Kuelekea Israel

Rais wa Zamani wa Ghana Akufo-Addo Aongoza Ujumbe wa ECOWAS Benin

Mahakama Congo-Brazzaville Yathibitisha Ushindi wa Sassou Nguesso kwa Asilimia 95

Ripoti ya “Hali ya Utawala Afrika” Yaonesha Picha Mchanganyiko wa Kisiasa
27 Mechi, 2026
Iran yaweka masharti matano kumaliza vita, yakataa pendekezo la Marekani
Afisa wa Iran alisema kuwa nchi yake ndiyo itaamua lini vita vitaisha na itaendelea kukabiliana, akiahidi kuendelea kutoa “mapigo mazito” hadi masharti yake yatakapotekelezwa.

25 Mechi, 2026
Hakan Fidan wa Uturuki aongoza juhudi za kusitisha vita vya Mashiriki ya Kati
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan alijadili mwelekeo wa mzozo na juhudi za kusitisha mapigano katika mazungumzo na wenzake kutoka China, Syria, Qatar na Uzbekistan.

25 Mechi, 2026
Maafisa 12 Wa Afrika Kusini Wakamatwa kwa Tuhuma za Rushwa
Maafisa 12 waandamizi wa polisi nchini Afrika Kusini wamekamatwa wakishukiwa kuhusika na vitendo vya rushwa.

25 Mechi, 2026
Uchumi wa Uganda Wapanuka kwa Asilimia 8.5 Robo ya Mwisho ya Mwaka
Uchumi wa Uganda umekua kwa kasi ya asilimia 8.5 katika robo ya mwisho iliyomalizika Desemba.

25 Mechi, 2026
Iran yataka muungano mpya wa usalama Mashariki ya Kati
Iran Yataka Muungano Mpya wa Usalama Mashariki ya Kati.

25 Mechi, 2026
Kiongozi mkongwe William Lukuvi afariki dunia Dodoma
Rais Samia atangaza kifo chake na kuelezea mchango wake mkubwa kwa taifa.

24 Mechi, 2026
Balozi wa Iran nchini Lebanon atimuliwa
Lebanon imesema hatua hiyo ilitokana na “ukiukwaji wa Iram wa kanuni na itifaki za kidiplomasia” kati ya nchi hizo mbili.

24 Mechi, 2026
Ukraine Yalenga Kuagiza Gesi Kutoka Mozambique
Ukraine inapanga kuagiza gesi kutoka Mozambique ili kuimarisha usalama wa nishati, Rais Zelensky amesema.

23 Mechi, 2026
Chama Kikuu cha Upinzani Benin Hakitamuunga Mkono Mgombea Yeyote Aprili
Chama kikuu cha upinzani nchini Benin kimesema hakitamuunga mkono mgombea yeyote katika uchaguzi wa urais wa Aprili.

23 Mechi, 2026
Waziri wa Zamani wa Kenya Aonekana Tena Baada ya Kutoweka Kuzua Hofu
Waziri wa zamani wa Kenya ameibuka tena baada ya kutoweka kwa muda, tukio lililozua wasiwasi mkubwa miongoni mwa wananchi.



