13 Februari, 2026

Ukraine yapokea shehena ya droni za kivita kutoka Ujerumani

Tukio hilo lilihudhuriwa na Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine na Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius jijini Munich.

dfa3d10b5fe0772235772922594d7e0d197d787ce508c9f2812008318e9fc325

13 Februari, 2026

Trump amlaumu rais wa Israel kwa kutotoa msamaha kwa Netanyahu

Rais wa Marekani amesema ni ‘aibu’ kwa Herzog kwa kutotoa msamaha, huku ofisi ya rais wa Israel ikisema ombi hilo linafanyiwa tathmini.

2026 02 12t064337z 1 lynxmpem1b0cc rtroptp 3 israel palestinians trump netanyahu

12 Februari, 2026

Kim Jong Un wa Korea Kaskazini amuandaa binti yake kuwa mrithi wa kiti cha urais

Idara ya Intelijensia ya Korea Kusini inaamini kuwa Korea Kaskazini wameanza hatua ya kumuandaa Kim Ju-ae, binti wa Rais Kim Jong Un, kama kiongozi ajaye.

b99e2d6846b6e7548d3387a02572d329c24fb0ad1c0e8b8ed638cbea825c8f74

6 Februari, 2026

Marekani yaiwekea Iran vikwazo vipya muda mfupi baada ya mazungumzo kukamilika nchini Oman

Tangu muhula wa kwanza wa Trump, Marekani imeweka vikwazo ili kuzilazimisha nchi nyingine zote kuacha kununua mafuta ya Iran.

a7bcdaa0cbdf8262b8fcd4579d9b144a34cff77cd0146584a8f8592362e609b2

6 Februari, 2026

Trump azindua tovuti ya dawa nafuu, TrumpRx

“Kuanzia jioni ya leo, dawa nyingi zinazotumika mara kwa mara zitapatikana kwa punguzo kubwa kwa watumiaji wote.” — Donald Trump

407

5 Februari, 2026

Maseneta wa Marekani waonya kuhusu hali ya kibinadamu mashariki mwa DRC

Maseneta wa Marekani wameonesha wasiwasi kuhusu sehemu za mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuendelea kukaliwa na kundi la waasi wa M23.

401

4 Februari, 2026

Marekani yatuma maafisa wa kijeshi Nigeria

Hatua hiyo ilikubaliwa baada ya mkutano wa Tinubu na viongozi wa Marekani Roma.

322

4 Februari, 2026

Erdogan akutana na Mohammed bin Salman Riyadh, aelekea Cairo kwa mazungumzo na Sisi

Erdogan akutana na Mohammed bin Salman jijini Riyadh katika ziara rasmi.

392

3 Februari, 2026

Urusi yashutumu Ufaransa kwa njama za kuwaondoa viongozi wa Afrika

Ufaransa inadaiwa kuhusika katika jaribio la mapinduzi Burkina Faso.

389

3 Februari, 2026

FIFA yafikiria kuondoa adhabu ya Urusi, Ukraine yapinga

Aeleza kuwa adhabu imeongeza chuki badala ya suluhu.

7158f1f611babf0eca42fb5d12d15537cd0088a59750cc6c4fdab58d52c2c400
Inapakia...