Wanaolenga kuyumbisha eneo letu watashindwa: Rais Erdogan wa Uturuki

Utu na udugu vitashinda, pamoja na taifa la Uturuki na raia wake, amesema Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan.
25 Agosti, 2026
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Iran “inaporomoka kabisa”

Hapo awali, Rais wa Marekani alisema anaamini Iran haikuwa tayari kufikia “makubaliano sahihi” na Marekani.
24 Agosti, 2026
Iran yazitahadharisha nchi jirani dhidi ya kujiunga na ‘vita vya kiuchumi’ vya Marekani

Mkuu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa anasema Iran italenga maslahi ya nchi jirani na kuzuia usafirishaji wa mafuta kutoka Ghuba iwapo nchi hizo zitashirikiana na Washington.
23 Agosti, 2026
Jeshi la Iran linabadilisha msimamo kutoka ule wa kujihami hadi wa kushambulia: msemaji wa jeshi

Msemaji wa jeshi anasema mabadiliko hayo yanaakisi mafunzo yaliyotokana na vita vya hivi karibuni, na yanajumuisha mipango ya kukabiliana na mashambulizi kwa kasi zaidi pamoja na kufanya operesheni za kuwahi kabla ya shambulio kutokea.
22 Agosti, 2026

Japan yamnyonga mtu aliyeua watu 5

Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan arudishwa jela baada ya kutoka hospitali

Uko pamoja nasi au dhidi yetu: Marekani yataka ushirikiano wa China dhidi ya Iran

Upinzani Kenya wataka ICC ichunguze ghasia za kisiasa na uhalifu wa magenge

Ufaransa yapitisha sheria ya ‘kusaidia watu kufa’
18 Agosti, 2026
Qatar yasisitiza utekelezwaji kamili wa kusitishwa mapigano Gaza
Qatar inaendelea kusisitiza mpango wa utekelezwaji kamili wa usitishwaji mapigano Gaza licha ya upinzani wa Israel, huku ikitoa wito wa kumaliza hali ya taharuki kote katika kanda na kuanzishwa tena kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran.

18 Agosti, 2026
Iran yasema imeshinda katika vita na diplomasia baada ya Trump kuitaka ijisalimishe
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, anasema Tehran ilipambana kwa masharti yake yenyewe na kuwalazimu wale waliotaka “isalimu amri bila masharti” kufanya mazungumzo, baada ya Donald Trump kuitaka Iran “kuinua bendera nyeupe.”

18 Agosti, 2026
Afrika Kusini yataka viongozi kuungana kushughulikia changamoto ya uhamiaji
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amewaomba viongozi wa nchi za ukanda huo siku ya Jumatatu kushirikiana katika kukabiliana na suala la wahamiaji wanaokwenda Afrika Kusini.

17 Agosti, 2026
Trump atishia kuishambulia Oman iwapo ‘itakwamisha’ mazungumzo ya Marekani na Iran
Rais wa Marekani anasema wanafanya mawasiliano ya moja kwa moja na kikosi cha IRGC cha Iran na kutishia Oman kuhusu hatua yake katika majadiliano, huku akitoa wito kwa Israel kusitishga mashambulizi Gaza.

17 Agosti, 2026
Trump afurahishwa na mkataba wa ulinzi wa Makkah uliosainiwa na Uturuki, Pakistan na Saudi Arabia
Rais wa Marekani amepongeza makubaliano hayo muhimu kama hatua kubwa ya kwanza kuelekea ushirikiano mkubwa zaidi wa kikanda na ulinzi imara wa pamoja katika Mashariki ya Kati, huku akiwapongeza viongozi wa nchi hizo tatu.

17 Agosti, 2026
Watu 9 wafariki dunia wakimuabudu ‘mungu’ wa kihindu nchini India
Tukio hilo limetokea ndani ya hekalu la Ashok Dham liloloko katika wilaya ya Lakhisarai, wakati wakitoa ibada kwa mungu wa kihindu, maarufu kama Shiva.

16 Agosti, 2026
Papa asukuma suluhisho la majimbo mawili katika wito wa kukomesha vurugu dhidi ya Wapalestina
Wito waa Papa Leo unaongeza shinikizo la kimataifa kuhusu jinsi Wapalestina wanavyotendewa katika Ukingo wa Magharibi, ambapo upanuzi wa makazi na vurugu za walowezi vimebaki kuwa kikwazo kikubwa kwa juhudi za amani ya kudumu

16 Agosti, 2026
Kiongozi wa Hamas anaelekea Cairo kwa mazungumzo ya kusitisha mapigano Gaza
Khalil al-Hayya anaongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa Hamas kwa ajili ya mazungumzo na maafisa wa Misri kuhusu juhudi za kuimarisha makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza.

16 Agosti, 2026
Makubaliano yamefikiwa na Oman kuhusu njia za usafirishaji katika Mlango-bahari wa Hormuz: Iran
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje anasema Tehran na Muscat bado zinajadili taarifa hiyo; kurejeshwa kikamilifu kwa usalama katika njia hiyo ya maji kunategemea kukomeshwa kwa hatua za Marekani.

15 Agosti, 2026
Trump aapa kutangaza Mlango-Bahari wa Hormuz ‘eneo la Marekani’ Iran yatupilia mbali vitisho hivo
Rais wa Marekani Donald Trump anawahimiza Wamarekani kukubali bei ya juu ya mafuta, huku akiongeza kuwa hivi karibuni atatangaza Mlango-Bahari wa Hormuz kuwa eneo la Marekani. Iran inajibu kwa kusema haitishwi na vitisho vya Marekani.



