20 Februari, 2026

Misri yaomboleza vifo vya watu 18 kufuatia ajali ya barabarani

Ajali za barabarani huua maelfu ya watu kila mwaka nchini Misri.

bcaea4d5d020192ac90de06d337aad6b392b6fa3e47b83d112aad09997933e9f

20 Februari, 2026

Mahakama ya Morocco yawatupa jela mashabiki 19 wa soka kwa vitendo vya kihuni

Mahakama ya Morocco imewahukumu mashabiki 19 wa soka kifungo cha mwaka mmoja jela kwa vitendo vya kihuni walivyovionesha wakati wa mchezo wa fainali ya AFCON 2025 kati ya Morocco na Senegal, ambapo walijaribu kuvamia uwanja.

africa cup fans jailed soccer 26254

19 Februari, 2026

Magaidi waua watu kadhaa katika mashambulizi vijijini Nigeria

Msemaji wa polisi anasema vijiji saba viliharibiwa katika mashambulizi hayo ya kundi la kigaidi la Lakurawa.

18d81b7dc0099aae427ed36e8afe64bd6492740be4475f79ef0a1710110c498d

19 Februari, 2026

Putin akutana na kiongozi mpya wa Madagascar mjini Moscow

Rais wa Urusi Vladimir Putin amemwambia Kanali Michael Randrianirina kuwa Madagascar ni “mshirika muhimu” barani Afrika.

22ace1ac455481d8a863d88f97591bbab1dd121cc012fdd818b0b37d16f9df21

19 Februari, 2026

Mtu 1 auawa, wengine kadhaa wajeruhiwa katika shambulio la droni la RSF eneo la Kurmuk, Sudan

Gavana anasema ndege hizo zisizokuwa na rubani zililenga maeneo ya makazi ya watu; kundi hilo la wapiganaji halijatoa taarifa yoyote

20d7ec492ef712f7fc4496e2f054aa24fd8a4c20f34d954ae8b62977456c53dd

19 Februari, 2026

Polisi wa Kimataifa wawakamata watu 651 Afrika kwa utapeli wa kutumia simu wa dola milioni $45

Operesheni hiyo imefanyika katika nchi za Angola, Benin, Cameroon, Chad, Gabon, Gambia, Ghana, Ivory Coast, Kenya, Namibia, Nigeria, Rwanda, Senegal, Uganda, Zambia na Zimbabwe.

bc91e99aaac3260af39d76f680a0223efd108b80139b5fc16493007b10891db1

19 Februari, 2026

Watu 50 wauwawa DRC

Kulingana na ripoti ya Umoja wa Mataifa, jumla ya watu 50 wameuwawa nchini humo kufuatia mapigano kati ya wanamgambo wa serikali na waasi wa AFC/M23.

a1156603d7f28fd0ad1a557af38ab0d28b14a3a5515c753dd9c732e3e5899f69

19 Februari, 2026

Zaidi ya Wakenya 1,000 washiriki katika vita vya Urusi na Ukraine

Idara ya Kijasusi ya Kenya, imeliarifu bunge la nchi hiyo kuwa, zaidi ya Wakenya 1,000 wanapigana upande wa Urusi katika vita vinavyoendelea nchini Ukraine, jambo linalozua wasiwasi mpya kuhusu kuajiriwa kwa raia kwenda mataifa ya kigeni na usalama w

db167eca76d42f7f877fd0356b9f3954cd633c4a2326b757b19525c330d2ad93

19 Februari, 2026

UNICEF: Watoto Sudan wako katika hatari kubwa kutokana na ghasia

Mashambulio ya makambi na shule yameongeza vifo na majeruhi.

422

19 Februari, 2026

Guinea-Bissau yasitisha jaribio tata la chanjo ya hepatitis B

WHO na wanasayansi wakosoa utafiti uliowaweka watoto wachanga hatarini

420
Inapakia...