27 Juni, 2026

Polisi nchini Kenya watoa tahadhari kuhusu ongezeko la vijana wanaosajiliwa na walanguzi wa dawa

Kurugenzi ya Upelelezi DCI lilisema wasafirishaji haramu pia walikuwa wakigeukia dawa mpya za kutibu maradhi ya kichwa NPS iliyoundwa kuiga athari za mihadarati inayodhibitiwa

a3690874b339d6c5290ff610ddf89b0bbe144327681695bb86337de4be440ccf

27 Juni, 2026

Burkina Faso yamaliza uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa

Burkina Faso ilisema uamuzi huo ulianza Juni 26 na kufuatia mapitio ya uhusiano na Paris.

burkina faso france 15 58

27 Juni, 2026

Tanzania yapiga marufuku mikutano ya kisiasa kwa sababu ya tishio kwa usalama

Maandamano yamepangwa kufanyika Julai 7, sikukuu ya umma, ili kutoa wito wa mageuzi ya kidemokrasia na haki kwa watu waliouawa katika ghasia za uchaguzi mwaka jana.

71c32f39a37a0ff7d3dd0dfff8bf8451bbb3a3d8f94eaf3f345c4e550e73dc40

27 Juni, 2026

Côte d’Ivoire yafuzu hatua ya mtoano kwa mara ya kwanza Kombe la Dunia

Côte d’Ivoire walipata magoli yao kupitia Nicolas Pepe akifunga moja katika kila kipindi na kufuzu kwa hatua ya mtoano Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza baada ya timu hiyo ya Afrika Magharibi kuifunga Curacao 2-0 siku ya Alhamisi.

17956f017020297e90bca50aecc9bee4029fa9dbd3a3cea5f7ceb38d18f06796

26 Juni, 2026

Tanzania kushuhudia punguzo la bei ya mafuta ifikapo mwezi Julai

Hali hiyo inatokana na kushuka kwa bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia kufuatia kusitishwa kwa mapigano ya Mashariki ya Kati.

5ef92a1ed3182e8fc1631c5d115ed7e8e450a0d9ff7d420e2aa770e1a17e070d

25 Juni, 2026

Wanigeria 12 watupwa jela nchini Ujerumani kwa kuendesha mtandao wa utapeli wa kimapenzi

Raia hao wa Nigeria wanadaiwa kupatikana na hatia ya kuendesha mtandao huo wa kimataifa wenye kuwalaghai watu kimapenzi na baadaye kuwatapeli fedha.

159a290503f3878fa711d2f2b52c71dff4bc0f26a650444d2053de0c1dd4d280

25 Juni, 2026

Polisi nchini Kenya wafunga sehemu ya Nairobi kutokana na mikusanyiko ya kuadhimisha maandamano

Polisi waliweka vizuizi katika barabara kadhaa na kuzuia magari kuingia katika baadhi ya barabara za jiji la Nairobi.

d91adfedb14422d2ec6a2fb370439fc168ae940db94310d7ecccfd86814d5e9e

25 Juni, 2026

Zimbabwe: Bunge la Seneti lapitisha muswada wa kumbakisha Mnangagwa madarakani hadi 2030

Jumla ya maseneta 75 walipiga kura ya ndio, kuunga mkono muswada huo ambao utasogeza mbele uchaguzi ujao kutoka mwaka 2028 hadi 2030, na hivyo kumuongezea Mngangagwa miaka miwili zaidi ya kukaa madarakani.

73cb64a2a13a68597e4b69e98e527b1876f51c63fa0d17bb6b3e5e122bee9361

24 Juni, 2026

Polisi nchini Kenya wadai hawajapokea notisi ya maandamano ya GenZ ya June 25

Kamanda wa polisi Issa Mohamud alionya kwamba wakati Wakenya wana haki ya kikatiba ya kukusanyika na kuandamana kwa amani, mamlaka hazitavumilia vitendo vya uhalifu kama vile uporaji au uharibifu wa mali kama inavyotokea awali.

c6ecbb680a3acc9f467bcdb8ec57f52df04f5b5105ea42da3b332453f7cc2442

24 Juni, 2026

Niger yawasilisha ombi la kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC

Lengo la Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ni kuwashtaki wahusika wa uhalifu mkubwa zaidi.

781b953eba264abc37f752e6898e5dfdfe60cf512e6fe9c409a5cc8a00ca2400
Inapakia...