30 Mei, 2025

Wabunge Uganda waidhinisha mkopo wa dola milioni 568 kwa serikali ya Rais Museveni

Deni la jumla la umma nchini Uganda limeongezeka kwa 18% hadi dola bilioni 29.1 mwaka jana kutokana na kuongezeka kwa ukopaji wa ndani, kulingana na wizara ya fedha.

000b03abfb73edc22ca8233e6b663a3fe94d8fa8ca78cf7186f90901301e99ac

29 Mei, 2025

Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila arudi nchini humo kupitia Goma

Licha ya kuondoka nchini humo mwaka 2023, kiongozi huyo bado ana ushawishi mkubwa nchini DRC.

1d476126807a446c66d66db45bc5ebde72d9763080b1e21ba11f040d4ed78ead

29 Mei, 2025

Maadhimisho ya walinda amani duniani

Operesheni za Umoja wa Mataifa za kulinda amani huidhinishwa na Baraza la Amani na Usalama la UN.

2025 04 15t215540z 1 lynxmpel3e13e rtroptp 3 usa trump un

29 Mei, 2025

Bei ya matibabu ya saratani Kenya kupungua kwa zaidi ya mara tatu

Serikali inasema kuwa vipindi vya matibabu sasa vitagharimu dola 309 ( shilingi 40,000) badala ya bei ya awali ya zaidi ya dola 900 ( shilingi 120,000).

duale 202

29 Mei, 2025

Mwanamke wa Afrika Kusini afungwa maisha kwa kumuuza binti yake

Racquel Smith na wenzake wawili wameshtakiwa kifungo cha maisha kwa usafirishaji wa binadamu kinyume cha sheria na miaka 10 ya utekaji

kelly 1

28 Mei, 2025

Mwanafasihi maarufu Afrika Mashariki Ngugi Wa Thiong’o afariki dunia

Kulingana Wanjikũ wa Ngũgĩ, ambaye ni binti wa mwanafasihi huyo mahiri barani Afrika, amefariki dunia asubuhi ya Mei 28, 2025, akiwa na umri wa miaka 87.

ngugi 20wa 20thiongo 1 2 3

28 Mei, 2025

Tanzania kujenga kituo kikubwa cha upandikizaji wa figo Dodoma

Tanzania inatarajiwa kujenga kituo kikubwa cha upandikizaji wa figo katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma.

img 20250528 wa0004

28 Mei, 2025

Rais wa Afrika Kusini asema wananchi wote nchini mwake wana haki sawa

Rais huyo amesema serikali imeanzisha sheria katika maeneo kama vile umiliki wa ardhi, usawa wa ajira na uwezeshaji wa kiuchumi kwa ajili ya kuhakikisha kila mtu anapata haki sawa.

ramaphosa 203

28 Mei, 2025

Ethiopia yaadhimisha miaka 34 tangu kuanguka kwa uongozi wa Derg

Derg haikuwa maarufu kwa sababu ya sera mbaya na mauaji ya watu wengi, ambayo yalisababisha mshtuko kote nchini.

gettyimages 157308876

28 Mei, 2025

Kipindipindu chaongezeka katikati ya vita Sudan

Taarifa ya Wizara imesema kuwa watu 2,700 walipata ugonjwa huo ndani ya wiki moja tu, kati yao 172 walikufa.

66bf9154e4b0d6b86b1d0faa
Inapakia...