26 Mei, 2025

Kikundi cha M23 chafurahia Joseph Kabila kurejea nchini DRC

Kabila, mwenye umri wa miaka 53, alikuwa kiongozi wa DRC kutoka mwaka 2001 hadi 2019, aliporithiwa na Tshisekedi.

kabila 1

26 Mei, 2025

Mashirika binafsi ya matibabu Rwanda yataka mfumo wa ushuru kurekebishwa

Mashirika binafsi ya matibabu nchini Rwanda yanasema kutobadilishwa kwa ushuru tangu 2017 ni chnagamoto kwani kumekuwa na ongezeko kubwa la gharama za uendeshaji, ikiwa ni pamoja na mishahara kwa wafanyakazi wa sekta ya afya na bidhaa.

hospital

26 Mei, 2025

Serikali ya Kenya kuuza zaidi hisa zake Safaricom, waziri wa fedha amesema

Serikali ya Kenya inapanga kuuza hisa zaidi katika kampuni kubwa ya mawasiliano nchini humo Safaricom, Waziri wa Fedha John Mbadi alinukuliwa na gazeti moja nchini humo siku ya Jumatatu.

safaricom

26 Mei, 2025

Uganda yasitisha ushirikiano wa kijeshi na Ujerumani

Uganda “imesimamisha” ushirikiano wote wa kijeshi na Ujerumani, huku jeshi likisema kuwa balozi wa Ujerumani mjini Kampala “anajishughulisha na vitendo vya uasi” katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

2025 05 20t164838z 1 lynxmpel4j0u6 rtroptp 3 uganda politics

26 Mei, 2025

Ethiopia yathibitisha visa vya kwanza vya ugonjwa wa mpox kwa mtoto mchanga na mama

Chanzo cha maambukizi kinachunguzwa, lakini matokeo ya awali yanaonyesha maambukizi ya kuvuka mpaka wa kusini mwa mji wa Moyale.

2024 09 02t181309z 335071699 rc2e eh5u9 rtrmadp 3 health mpox congo

25 Mei, 2025

DRC yalenga makubaliano ya madini ya Marekani kufikia mwisho wa Juni

Maafisa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wana matumaini wanaweza kufikia makubaliano na Washington mwezi ujao ili kupata uwekezaji wa Marekani katika madini muhimu.

fabe

25 Mei, 2025

Siku ya Afrika: Mwenyekiti wa Tume ya AU atoa wito nchi zote za Afrika kujiinua ili kuinua Afrika

Siasa za jiografia za kimataifa zinaendeshwa kwa gharama ya bara Afrika; mamlaka za kimataifa zenye ushawishi hazitoi umakini mzuri kwa matamanio ya bara hili..

fab 1 2

25 Mei, 2025

Uturuki, Somalia wakubali kuimarisha ushirikiano katika kukabiliana na taarifa potofu

Nchi zote mbili zilisisitiza dhamira yao ya kukuza uhusiano wa karibu kati ya watu wa Somalia na Uturuki na kufanya kazi pamoja ili kupambana na taarifa potofu ambazo zinaweza kuathiri urafiki wao wa muda mrefu.

thumbs b c 8b762b78ae18d152e6b17b17f1fa8fab

24 Mei, 2025

Lissu ateuliwa katika uongozi wa Muungano wa Kimataifa wa Demokrasia – IDU

Tundu Lissu amechaguliwa katika nafasi ya mojawapo ya Makamu Wenyeviti wa Muungano huo wa Kisiasa duniani wenye lengo la kupigania sera za kisiasa za vyama vya mrengo wa kulia, akiwa bado anazuiliwa gerezani Tanzania.

2025 05 23t084122z 499273969 rc2p 0nv1d rtrmadp 3 tanzania politics

24 Mei, 2025

Kiongozi wa zamani wa DRC akashifu mfumo wa haki baada ya kuondolewa kwa kinga ya kushtakiwa

Rais huyo wa zamani anasema mfumo wa haki unatumiwa waziwazi kwa malengo ya kisiasa katika nchi ambayo anasakwa kwa madai ya uhalifu dhidi ya ubinadamu.

fab 1 2 3 4 5
Inapakia...