Washukiwa watatu wa wizi kutoka Uganda wakamatwa Kenya

Kitengo cha makosa ya jinai nchini Kenya kimesema uchunguzi umebaini kuwa watatu hao kutoka Uganda waliwasili nchini Kenya tarehe Mei 21, 2025 kupitia mpaka wa Malaba.
23 Mei, 2025
Karibu wachimba migodi 300 wakwama Afrika Kusini

Msemaji anasema wafanyakazi wote wako salama na wanajulikana waliko na kwamba wako katika mchakato wa kuwafikishia chakula.
23 Mei, 2025
Uganda kufunga baadhi ya balozi zake

Kulingana na ripoti yake ni balozi 10 tu kati ya 38 zilizokaguliwa na kupokea ufadhili kutoka kwa serikali katika mwaka 2024.
23 Mei, 2025
Marekani kuiwekea vikwazo Sudan kwa madai ya kutumia silaha za kemikali

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inasema kuwa itaiwekea vikwazo serikali ya Sudan kwa madai ya kutumia silaha za kemikali katika vita vyao na wapiganaji wa RSF.
23 Mei, 2025

Tanzania yamuachilia Agather, mwanaharakati wa Uganda

DRC yamuondolea kinga rais mstaafu Joseph Kabila

Ubalozi wa Uganda nchini Tanzania wafanya jitihada za kumtafuta mwanaharakati Agather Atuhaire

Wakenya wakosa kulipa mikopo ya zaidi ya dola milioni 46 chini ya “Hustler Fund”

Tanzania yamuachilia Boniface Mwangi
22 Mei, 2025
Umoja wa Afrika ‘hauwezi kuwa na furaha’ kuhusu kuwafukuza Wapalestina: Angola
“Kwa hakika tunatetea suluhisho la serikali mbili,” Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Tete Antonio anasema.

22 Mei, 2025
Kenya yaitaka Tanzania kumuachia mwanaharakati Boniface Mwangi
Boniface Mwangi wa Kenya na mwanaharakati mwenzake wa Uganda Agather Atuhaire walikamatwa na mamlaka za Tanzania siku ya Jumatatu walipokwenda nchini humo wakitaka kuhudhuria kesi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu.

21 Mei, 2025
Waziri wa zamani wa madini nchini Senegal ashitakiwa kwa ufisadi
Gladima anakuwa kiongozi wa tatu katika uongozi uliopita wa Macky Sall kushitakiwa kwa tuhuma za ufisadi.

21 Mei, 2025
Uganda yapitisha sheria ya raia kushtakiwa katika mahakama ya kijeshi
Bunge la Uganda limepitisha sheria iliyofanyiwa marekebisho ambayo sasa inayoruhusu mahakama za kijeshi kusikiliza kesi za raia, na kutoa hukumu, jambo lililosababisha maandamano kutoka kwa upinzani.

21 Mei, 2025
DRC yamhukumu waziri mkuu wa zamani miaka 10 ya kazi ngumu kutokana na ufisadi
Waziri Mkuu wa zamani wa DRC Augustin Matata Ponyo amehukumiwa kifungo cha miaka kumi na kazi ngumu kwa kosa la “kufuja” dola milioni 247 za serikali.

21 Mei, 2025
Serikali ya Trump yawapeleka wahamiaji wa Asia Sudan Kusini, yakiuka agizo la mahakama
Wanasheria wa masuala ya wahamiaji wanasema wanaume wote wawili wamesafirishwa kutoka Marekani pamoja na watu wengine 10 katika ‘mataifa mengine’

20 Mei, 2025
Kenya: Gachagua na siasa zake
Rigathi Gachagua anasema kuwa alipokea taarifa za kijasusi akidai kuwa rais wa nchi hiyo aligiza vyombo vya usalama kumuwekea sumu kupitia kemikali ambazo zitafanya ubongo wake kupooza katika muda wa miezi mitatu.

20 Mei, 2025
Tume ya Uchaguzi Tanzania yasema hakuna muda wa ziada uandikishaji Daftari la Kudumu
Zoezi hilo pia linahusisha kuwaondoa wasio na sifa kwenye Daftari hilo.

20 Mei, 2025
Kongamano la amani Rwanda lajadili mustakbali wa Afrika
Rwanda imeandaa mkutano wa kujadili amani na usalama, wenye kuendesha mijadala ya kina juu ya changamoto za usalama za Afrika na kuhimiza suluhisho endelevu.

20 Mei, 2025
Baadhi wapongeza hatua ya Tanzania kuwatimua wanaharakati wa Kenya
Ingawa baadhi wamekosowa hatua ya Rais Samia Suluhu wa Tanzania kuwatimua wanaharakati wa Kenya waliokwenda kushuhudia kesi ya Tundu Lissu, wengine wameipongeza



