Rais Ruto akabidhi nyumba za bei nafuu Kenya

Rais wa Kenya William Ruto siku ya Jumatano alikabidhi familia 1080 nyumba za bei nafuu katika mtaa wa Mukuru, mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
20 Mei, 2025
Kongamano la kwanza la usalama barani Afrika laanza wito ukiwa uwajibikaji katika kanda

Rais wa Rwanda Kagame amewaambia viongozi wa Afrika katika mkutano wa masuala ya usalama kuwa kutafuta misaada ya usalama kutoka nje hakujafanikiwa na kwamba suluhu inahitajika kutoka ndani ya bara la Afrika.
20 Mei, 2025
Ufaransa ‘yatupilia mbali’ kesi ya aliyekuwa mke wa Juvenal Habyarimana

Kulingana na mahakimu waliokuwa wanafuatilia kesi hiyo, hapakuwa na ushahidi wa moja kwa moja wa kumuhusisha na tukio hilo.
19 Mei, 2025
Somalia yazindua chanjo ya dhidi ya suruwa, polio, na nimonia

Shirika la Afya Duniani WHO, likishirikiana na serikali kuu ya Somalia pamoja na serikali za majimbo,linapanga kuwapa chanjo watoto milioni 3.1 walio chini ya umri wa miaka 5 katika kampeni ya wiki nzima
19 Mei, 2025

UN, Baraza la Rais Libya waunda ‘kamati ya mapatano’ baada ya mapigano Tripoli

Mamia ya Wanyarwanda waliokimbilia Congo baada ya mauaji ya kimbari ya 1994 walirudishwa nyumbani

Prof Janabi ashinda uteuzi wa Mkurugenzi wa WHO – Kanda ya Afrika

11 wauawa katika shambulio la kujitoa mhanga Somalia

Wana vuguvugu wa upinzani kutoka Kenya wazuiwa kuingia Tanzania
18 Mei, 2025
Mali ya mamia ya milioni yateketea katika moto mkubwa wa soko la nguo kuu kuu la Gikomba, Kenya
Mpangilio duni na msongamano wa vibanda na maduka zimesababisha visa vingi vya moto katika soko hili kubwa zaidi nchini Kenya na hasara ya mamia ya milioni ya pesa.

18 Mei, 2025
Naibu waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azuru Burkina Faso ili kuimarisha uhusiano, kujadili usalama
Ziara ya Burhanettin Duran inaangazia kukabiliana na ugaidi, utulivu wa kikanda, na ushirikiano kati ya Uturuki na Burkina Faso.

17 Mei, 2025
Rais Bongo wa Gabon aliyeondolewa madarakani akimbilia Angola na familia yake
Familia hiyo iliyokuwa kizuizini tangu mapinduzo ya Agosti 2023, iliachiliwa kufuatia juhudi za kidiplomasia za serikali ya Angpla.

16 Mei, 2025
Mbunge wa pili wa upinzani afungwa jela Zambia kwa kauli za uchochezi
Maureen Mabonga amehukumiwa miezi minane jela kwa kuhusika na ‘mienendo ya uchochezi’ ikiwemo ‘kuchochea uasi’ kwa misingi ya kikabila.

16 Mei, 2025
Kiongozi anayetaka kujitenga kwa Biafra Nigeria ashtakiwa Ufini kwa kuchochea ugaidi
Mashtaka dhidi ya Simon Ekpa yanahusiana na juhudi zake za kutaka kujitenga kwa eneo la Biafra nchini Nigeria kama taifa huru, Ofisi ya waendesha mashtaka nchini Ufini imesema.

16 Mei, 2025
Serikali ya kijeshi ya Guinea yachukua migodi 51 baada ya kufuta leseni zao
Kuna madini mengi ya bauxite nchini Guinea-Conakry yanayotumika kuzalisha alumini.

16 Mei, 2025
Bunge la Uganda laidhinisha pendekezo la bajeti ya Dola Bilioni 20
Serikali imesema itaweka kipaumbele katika sekta ya kilimo-viwanda, utalii na madini.

16 Mei, 2025
Chama cha TPLF Ethiopia chailalamikia AU baada ya kufutiwa usajili na Tume ya Uchaguzi
Tume ya Uchaguzi ya Ethiopia imedai kuwa TPLF imeshindwa kutekeleza “hatua za marekebisho” zinazotakiwa.

16 Mei, 2025
Rais wa zamani wa Gabon aelekea Angola na familia yake
Rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo, aliyeondolewa madarakani katika mapinduzi mwaka 2023, amesafiri kwa ndege hadi Angola pamoja na mkewe na mwanae, ambao walihamishwa kutoka jela hadi kifungo cha nyumbani wiki iliyopita.

16 Mei, 2025
Mkuu wa Jeshi Uganda awatisha mabalozi wasiomuunga mkono baba yake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni bado hajatamka lolote baada ya ujumbe wa mitandaoni ya mtoto wake ambaye anajulikana kwa kutoa matamko mara kwa mara yenye utata mtandaoni.



