14 Mei, 2025

Mali yapiga marufuku shirika la Televisheni la Ufaransa TV5 Monde kwa taarifa za maandamano

TV5 Monde imekuwa televisheni ya Ufaransa ya hivi karibuni kupigwa marufuku kupeperusha matangazo yake katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.

tvmonde

14 Mei, 2025

Wazungu wa Afrika Kusini wakimbilia Marekani, kanisa lakataa kuwapokea

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema Waafrikaner waliondoka kwa sababu wanapinga sera zinazolenga kushughulikia tatizo la ubaguzi wa rangi.

south africa us refugees 68599

14 Mei, 2025

Serikali ya Kenya yakana kuuza makampuni ya sukari

Ufafanuzi huo umekuja huku kukiwa na ongezeko wa malalamiko kutoka kwa wananchi, viongozi wa kisiasa kuhusu ukodishaji wa viwanda vya sukari vinavyomilikiwa na Serikali, baadhi ya viongozi wakiibua wasiwasi juu ya uwazi na ushirikishwaji wa wananchi.

2015 03 18t120000z 1620375918 gm1eb3i1mlg01 rtrmadp 3 kenya sugar

14 Mei, 2025

Mshukiwa akamatwa kwa mauaji ya mbunge Kenya

Pata habari na uchambuzi zaidi kwa lugha 45 kutoka TRT Global. Zikiangazia siasa, biashara, michezo na mengineyo.

new 20suspect

13 Mei, 2025

Kampeni za uchaguzi zaanza rasmi nchini Burundi kwa wabunge, serikali za mitaa

Upigaji kura unatarajiwa kufanyika tarehe tano mwezi Juni, 2025

burundi

13 Mei, 2025

Watu zaidi 84,000 wameathiriwa na mafuriko Somalia tangu mwezi Aprili: Umoja wa Mataifa

Watu zaidi 84,000 wameathiriwa na mafuriko nchini Somalia tangu katikati mwa mwezi Aprili, Umoja wa Mataifa umesema, huku idadi ya waliofariki ikifikia 17.

somalia 20floods 20ap

13 Mei, 2025

Mahakama ya Kenya yaidhinisha kusafirishwa Marekani kwa naibu spika wa zamani wa Afghanistan

Mwanasiasa wa Afghanistan Abdul Zahir Qadir anakabiliwa na mashtaka kuhusu dawa za kulevya na silaha nchini Marekani lakini mawakili wake wanapinga kuwa ushahidi uliowasilishwa dhidi yake umechochewa kisiasa.

afghan

13 Mei, 2025

Uganda yasimamisha kwa muda mabasi za kampuni ya YY Coaches kutoa huduma

Katika wiki mbili mabasi ya kampuni hiyo yameripotiwa kufanya ajali mara mbili, ya hivi karibuni ilikuwa Mei 5 iliyoua abiria watatu.

yy 20coaches

13 Mei, 2025

Kenya yahitaji ufadhili zaidi kwa vyombo vya usalama

Mkurugenzi Mkuu wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi nchini Kenya amesema vikosi vya usalama vimekuwa na changamoto ya kifedha kwa muda mrefu na haviwezi kupata vifaa vya kisasa vya ulinzi.

2019 07 23t000000z 1594430149 rc1 4e2100 rtrmadp 3 kenya corruption

13 Mei, 2025

Wazalishaji Uganda wataka nafaka isiuzwe nje ya nchi

Wazalsihaji wanadai kuwa uuzaji wa nafaka kwa nchi nyengine zimesababisha viwanda kufungwa na madalali kupata faida badala ya wakulima.

gettyimages 589471500
Inapakia...