10 Mei, 2025

Kiongozi wa upinzani Uganda, Bobi Wine kuwania urais

Katika uchaguzi uliopita wa mwaka 2021, Wine alikuwa wa pili, lakini alikataa matokeo, na kudai kulikuwa na wizi wa kura. Tuhuma ambazo serikali na Tume ya Uchaguzi ilizikana.

2025 05 09t132217z 1 lynxmpel480iz rtroptp 3 uganda politics wine

10 Mei, 2025

Mashambulizi ya anga Darfur yaua 14 kutoka familia moja

Watu hao wa familia moja wameuliwa baada ya kushambuliwa kwa kambi ya Abu Shouk na vikosi vya RSF Ijumaa jioni, vikosi vya uokoaji vimesema.

gettyimages 564036277

10 Mei, 2025

Jamhuri ya Afrika ya Kati yamshikilia kiongozi wa waasi Sayo kwa uhalifu wa kivita

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya ndani, alikamatwa nchini Cameroon tangu Januari alipokuwa akijaribu kupanda ndege na kuelekea nchini Ufaransa.

gettyimages 2157386857

9 Mei, 2025

Waasi DRC waamuru wachimba migodi kusitisha uchimbaji kufuatia utata wa kodi

Serikali mpya ya gavana wa M23 kwenye mkoa wa Kivu ya Kusini inasema kampuni ya uchimbaji madini ya Twangiza Mining lazima ifuate sheria mpya na kulipa kodi ambazo zinadaiwa walikuwa hawalipi.

dr 20twangiza

9 Mei, 2025

Zambia yawasimamisha kazi maafisa wakuu wa serikali kufuatia uwizi wa dawa

Haya yanajiri baada ya Marekani kusitisha msaada wa dola milioni 50 wa kila mwaka kwa masuala ya matibabu kutokana na uwizi wa dawa na usaidizi mwingine, dawa ambazo zilitakiwa kutolewa bure

zambia 20dawa 1

9 Mei, 2025

Erastus Edung Ethekon Mwenyekiti mteule wa tume huru ya uchaguzi Kenya ni nani?

Rais wa Kenya, William Ruto, amemteua Erastus Edung Ethekon kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka – IEBC, pamoja na makamishna sita wapya.

nation 20media 20group

9 Mei, 2025

Vita vya Sudan: Mashambulizi zaidi ya ndege zisizo na rubani yaikumba Port Sudan

Mashambulizi hayo mapya yamezua hofu ya uhaba wa mafuta na kuzorota kwa hali mbaya ya kibinadamu.

port 20sudan

9 Mei, 2025

Trump anapanga ‘kuwachukua Marekani’ wakimbizi wa Afrika Kusini

Maafisa wa Marekani wanasema wakulima Wazungu wanaodaiwa kuathiriwa na sheria mpya ya unyakuzi wa ardhi ya Afrika Kusini watawasili wiki ijayo.

2025 05 09t041341z 1 lynxmpel48036 rtroptp 3 usa trump safrica whites

9 Mei, 2025

Tanzania yalitaka Bunge la Ulaya kuheshimu uhuru, sheria na maadili ya Taifa

Kauli hiyo ya Tanzania imekuja kufuatia mjadala uliofanyika katika Bunge la Ulaya kuhusu masuala ya ndani ya Tanzania.

wazir 20thabit

8 Mei, 2025

Rais wa Kenya ateua makamishna wa tume huru ya uchaguzi

Rais wa Kenya William amemteua Erastus Edung Ethekon kuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi nchini humo.

ruto 20rut
Inapakia...