20 Juni, 2026

Mjumbe wa UN amtaka kiongozi wa RSF Dagalo kusitisha mashambulizi dhidi ya El-Obeid, Sudan

“Hatupaswi kuruhusu hali ya kutisha inayoonekana katika Al Fasher kurudiwa tena huko El-Obeid,” msemaji wa Umoja wa Mataifa anasema.

1781946853874 rfnvak 4a2bfbe8bcc28b833d65dc220fd129a92470f057aa8d407d3d2ad1c8024f863d

20 Juni, 2026

Mlipuko wa Ebola: Madaktari 17 wafariki huku virusi vikienea ‘kwa kasi’

Madaktari wengine 75 wameambukizwa huku vifaa vya kimsingi vya kujilinda kama glavu na barakoa vikipungua, kulingana na maafisa wa afya.

1781902398362 wbfx3e 67cadf5c6fabdd9018e57f2bb3658b4c5362edb6aec3270d9f9eb96237672e16

20 Juni, 2026

Safari za ndege zimerejea katika uwanja mkuu wa ndege wa Niger baada ya shambulio la kigaidi

Shughuli za kawaida zimeripotiwa kuanza tena katika uwanja huo wa ndege, huku ndege mbili zikitua chini ya ulinzi mkali uliowekwa kwenye eneo hilo.

9add5152f396b60494a291f5dc702dcc68a8955e15f956609b0190bdcb9bed84

19 Juni, 2026

Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah wa Namibia aanza ziara rasmi Tanzania

Ziara hiyo, ambayo ni ya kwanza kwa Rais Nandi-Ndaitwah nchini Tanzania tangu aingie madarakani, inatarajiwa kuhitimishwa Juni 22, 2026.

34971efce7c3fe250863dc25af0b0824bc9e3194411b7de683e69386f1471b62

19 Juni, 2026

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya watoa tahadhari kuhusu maandamano ya Juni 25

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa tahadhari kwa raia wake kuhusu uwezekano wa kufanyika kwa maandamano katika maeneo mbalimbali Kenya.

d2e14f904334a1c97b050eeccf70475875fd9c212260951c8d6a1c78cd478e71

19 Juni, 2026

Wabunge wa Zimbabwe waunga mkono sheria ya kuongeza muda wa rais madarakani

Bunge la Taifa nchini Zimbabwe siku ya Alhamisi lilipitisha muswada unaolenga kuongeza muda wa muhula wa rais kutoka miaka mitano hadi saba, hatua ambayo itamwezesha Rais Emmerson Mnangagwa kuendelea madarakani hadi mwaka 2030.

2026 06 02t143141z 1 lynxmpem5115x rtroptp 3 zimbabwe politics main

19 Juni, 2026

Madaktari Tanzania waja na mikakati dira 2050 kuimarisha huduma za afya

Wataalamu wa afya Tanzania wamejadili mikakati mipya ya namna ya kuimarisha huduma za afya kufanikisha dira ya mwa 2050 ili kuhakikisha kila mwananchi anapata matibabu bila kikwazo.

2ad40deba818e3b2b79a26ad97e952661857e19d6cd945625d6569f61eff9139

18 Juni, 2026

Tanzania kinara wa simba, nyati barani Afrika

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa matokeo ya sensa hiyo jijini Arusha, Tanzania, Mkurugenzi Mkuu wa TAWIRI, Jublet Mjingo amesema kuwa, sensa ya mwaka 2024/2025 imefanyika miaka 10 baada ya ile ya mwaka 2014/2015.

2387a26db24dda69b1dd89dbc7fa033f96b96c725ec1c2d45accbb1612ac480f

18 Juni, 2026

Milio ya risasi yaripotiwa karibu na uwanja mkuu wa ndege wa Niger

Eneo la uwanja wa ndege limefungwa baada ya washambuliaji kuripotiwa kufanikiwa kuingia katika uwanja huo, huku vikosi vya usalama vikikabiliana na tukio hilo, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya ndani.

692f65ce585f06007ec89c14a5ebdbeaaa12758a6a187558fc755dfa73780d9d

18 Juni, 2026

IGAD yataka mamlaka ya Somalia kuheshimiwa huku ushirikiano kati ya Israel na Somaliland ukiendelea

Serikali ya Somalia inakataa kuitambua Somaliland kama taifa huru na inaichukulia kuwa sehemu muhimu ya eneo lake.

b1dc2e2ef4294860f5d82fa0d2cd2b2a8e3f4d79e126e35f1bddd1a84640cbc8
Inapakia...