Kenya kuunda kitengo maalum kukabiliana na usafirishaji haramu wa binadamu

Kamati ya Kudumu ya Seneti ya Kenya kuhusu Kazi na Ustawi wa Jamii inaripoti kuwa takriban wafanyakazi 80,000 wa Kenya wako Saudi Arabia na 60,000 katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), wengi wao wakiwa wafanyakazi wa nyumbani
23 Aprili, 2025
Mataifa matatu ya Sahel kujiondoa kutoka Ecowas ‘inasikitisha’ – rais wa Ghana

Rais John Mahama anatoa wito wa “uimara zaidi na uelewano kwa ajili ya changamoto ngumu zinazowakabili ndugu zetu katika mataifa ya Sahelian.”
23 Aprili, 2025
Watu 3 wamefariki, na mamia wengine kuondoka katika makazi yao kutokana na mafuriko Nairobi, Kenya

Mwanamke mmoja, na watoto wake 2 walifariki baada ya kuangukiwa na ukuta wakati wa mvua kubwa
22 Aprili, 2025
Rais wa Ghana Mahama amsimamisha kazi Jaji Mkuu

Kumewasilishwa malalamiko rasmi matatu kutaka aondolewe ofisini, hata hivyo madai dhidi yake hayajafahamika wazi kwa umma.
22 Aprili, 2025

Jeshi la Burkina Faso linasema limetibua jaribio la shambulizi kwa rais

Shirika la WFP laonya kuhusu ‘viwango vya kutisha’ vya utapiamlo nchini Ethiopia

Rwanda yaongeza mapato ya usafirishaji wa mizigo

Vatican: Mazishi ya Papa Francis Papa kufanyika Aprili 26

Serikali ya Kenya yaonya maafisa wa afya dhidi ya ukiukaji wa maadili
22 Aprili, 2025
Rais Ruto kuongoza kongamano la biashara nchini China
Ni katika ziara yake ya kiserikali ya siku nne nchini humo, ambapo mbali na hiyo, pia atajadiliana masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa na mwenyeji wake Xi Jinping.

22 Aprili, 2025
Raia wasiopungua 33 wameuawa kwenye mashambulizi ya RSF katika mji wa El-Fasher,jeshi linasema
Wapiganaji wa RSF hawajuzungumzia chochote kuhusu tukio hilo

22 Aprili, 2025
Mamia wafariki wakati Angola ikipambana na mlipuko wa kipindupindu
Zaidi ya visa 14,000 vya kipindupindu na vifo 505 vimeripotiwa tangu mlipuko huo uanze Januari 2025.

22 Aprili, 2025
Jeshi la Sudan Kusini lauteka tena mji muhimu kutoka kwa wanamgambo wa White Army
Wasemaji wa jeshi na jeshi la White Army, ambalo chama cha Machar kinakanusha kuunga mkono, walisema mji wa Nasir ulitekwa tena siku ya Jumapili bila mapigano

21 Aprili, 2025
Sudan Kusini kutuma ujumbe Marekani kujadili kurejeshwa nyumbani raia wake
Haya yanajiri baada ya Makula Kintu, aliyejitambulisha kwa jina la Nemeri Garang, awali kunyimwa kuingia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juba baada ya kufukuzwa kutoka Marekani, na kusababisha mzozo wa kidiplomasia

21 Aprili, 2025
Pasaka: Kanisa la Afrika Kusini lafungisha ndoa 3,000 katika harusi kubwa
Wakati wa sherehe hizo, baadhi ya wanaume walioa wake zao wa sita au wa saba huku wachumba wengine wakioa wachumba wawili kwa pamoja , kanisa linasema.

21 Aprili, 2025
DRC imekifuta chama cha rais wa zamani Kabila kwa madai ya kuwa na uhusiano na waasi wa M23
Joseph Kabila aliongoza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoka 2001 hadi 2019.

21 Aprili, 2025
Vita vya Sudan: Familia zahangaika kusaidia waliojeruhiwa katika mji uliozingirwa wa El-Fasher
Huku kukiwa na uhaba mkubwa wa mahitaji muhimu huko El-Fasher, familia na majirani wanatumia maarifa kupata huduma ya kwanza kwa walioathiriwa na vita.

21 Aprili, 2025
CHADEMA: Tumethibitisha Lissu anazuiliwa gereza la Ukonga
Duru kutoka ndanxi ya Chama zinasema kuwa viongozi wawili wa chama hicho pamoja na wanafamilia wachache wameruhusiwa kumuona kupitia kizuizi cha glasi na wamezungumza kwa simu naye.

21 Aprili, 2025
Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti DRC imeongezeka hadi 148
Zaidi ya wathiriwa wengine 150 waliokolewa wakiwa na viwango tofauti vya kuungua huku miili kadhaa iliyoteketea ikipatikana kutoka kwenye boti, asema afisa.



