Watu 35 wauawa nchini Sudan kutokana na mashambulizi ya RSF El-Fasher: Jeshi

Jeshi linasema limefanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya wapiganaji wa RSF, na kuwaua 80, pamoja na kuharibu magari yao 10
21 Aprili, 2025
Baraza la Usalama la UN limelaani mashambulizi ya RSF dhidi ya wakimbizi huko Sudan

Baraza la Usalama la Umoja Wa Mataifa limetoa wito wa kuwajibishwa kwa kikosi cha RSF, kwa mashumbulizi dhidi ya raia.
21 Aprili, 2025
Uganda kuleta sheria itakayoruhusu raia kushtakiwa mahakama ya kijeshi

Kizza Besigye anashikiliwa na serikali ya Uganda kwa tuhuma za uhaini na umiliki wa silaha bila kibali.
21 Aprili, 2025
Polisi wa DRC wavamia maeneo ya aliyekuwa Rais Kabila – familia

Wachunguzi wanasema walikuwa wanatafuta vifaa vya kijeshi ambavyo huenda “viliibiwa au vimefichwa” lakini hakuna kilichopatikana, hii ni kulingana na msemaji wa familia ya Joseph Kabila.
21 Aprili, 2025

Afrika Kusini yashtumu mashambulizi ya Israeli kwenye hospitali Gaza kama uhalifu wa kivita

Rwanda isitishe kuwaunga mkono kijeshi M23 – Mshauri wa Trump masuala ya Afrika

Raia wasiopungua 62 wameuawa kutokana mashambulizi ya RSF katika eneo la Darfur, Sudan

‘Magaidi’ wachoma nyumba, makanisa katika mkoa wa Cabo Delgado nchini Msumbiji

Jeshi la Somalia laua magaidi 47 wa al-Shabaab
21 Aprili, 2025
Tanzania yatishia kupiga marufuku uingizaji wa bidhaa za Malawi
Waziri Bashe amewashauri wasafirishaji wote wa Kitanzania kuacha kupakia bidha hizo mpaka mgogoro huo wa kibiashara utakapopata utatuzi.

21 Aprili, 2025
Mali yafunga ofisi za kampuni ya madini ya Canada kufuatia mvutano kuhusu kodi
Barrick Gold inasema ilitia saini makubaliano yaliyowasilishwa na serikali ya Mali mwezi Februari, lakini serikali ikashindwa kutekeleza.

21 Aprili, 2025
Maelfu ya watu waondolewa Darfur huku wapiganaji wakichukua udhibiti wa kambi ya Zamzam
Mapigano karibu na kambi na maeneo mengine yamesababisha vifo vya raia zaidi ya 300, ikiwemo wafanyakazi 10 wa shirika la misaada la Relief International.

21 Aprili, 2025
Kundi la kigaidi la al-Shabaab ladhibiti mji muhimu nchini Somalia
Miji wa Adan Ayabaal, ulioko kilomita 245 kutoka Mogadishu, ni mji wa kimkakati unaounganisha jimbo la Hirshabelle na jimbo la kati la Galmudug, ulikombolewa kutoka kwa magaidi wakati wa operesheni ya kijeshi ya 2022

21 Aprili, 2025
Mchungaji wa Marekani Josh Sullivan aliyetekwa aokolewa baada ya ufyatulianaji risasi Afrika Kusini
Josh Sullivan alipatikana akiwa “hana madhara yoyote” ndani ya gari moja wakati wa operesheni hiyo ya Jumanne usiku, polisi wamesema.

21 Aprili, 2025
Ufaransa yashtumu timua timua ya Algeria, yataka kuanzishwa tena kwa ’mazungumzo ya dhati’
‘Ni wazi kuwa majadiliano hayajapewa nafasi kutokana na maamuzi yasiyo na msingi,’ anasema waziri wa mambo ya nje

21 Aprili, 2025
Mkutano wa London unataka ‘hatua madhubuti’ kutatua mgogoro wa Sudan
Mkutano wa Sudan uliofanyika London, Uingereza, kwa kushirikian na Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya umejikita kutatua athari za vita ambavyo vimesababisha mauaji ya maelfu huku mamilioni wakikosa makazi nchini Sudan.

21 Aprili, 2025
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetaja marufuku ya uchaguzi kuwa ni kinyume cha katiba
Mwenyekiti wa tume huru ya taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele amesema kuwa wao kama tume wametafsiri sheria hiyo wanavyojua wao, na iwapo CHADEMA wana tafsiri tofauti ni haki yao, ila waachie uamuzi wa mwisho mahakama.

21 Aprili, 2025
Kiongozi wa wanamgambo wa Sudan Hemedti atangaza kuanzishwa kwa serikali mbadala
Mohamed Hamdan Daglo anasema serikali pinzani “inaakisi sura halisi ya Sudan” katika hatua inayokuja wakati mawaziri wa mambo ya nje na viongozi wa masuala ya kibinadamu wakikusanyika kuadhimisha miaka miwili ya mzozo wa Sudan.

21 Aprili, 2025
Ufaransa yamrejesha nyumbani balozi wake wa Algeria huku wasiwasi ukiongezeka
Haya yanatokea siku kadhaa baada ya Algeria kuwapa maafisa 12 wa Ufaransa saa 48 kuondoka nchini humo.



