Umoja wa wanafunzi Afrika Kusini wataka shule zifungwe kufuatia mgomo wa usafiri wa wanafunzi

Mgogoro wa usafiri wa wanafunzi unakuja huku kukiwa na wasiwasi kuhusu usalama.
10 Februari, 2026
Watu watano wafariki katika ajali ya helikopta nchini Libya

Helikopta hiyo ilianguka katika kambi ya al-Sarra baada ya zoezi la uokoaji kutoka Kufra.
10 Februari, 2026
Sudan yarejea tena IGAD baada ya kuwa nje kwa miaka miwili

Uamuzi wa kurejea IGAD, unafuatia kikao cha mwezi Januari kati ya Katibu Mtendaji wa IGAD, Workneh Gebeyehu, na Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris.
9 Februari, 2026
21 wauwawa katika shambulio la waasi mashariki mwa DRC

Katika tukio hilo, wanamgambo walishambulia vijiji vitatu vya Boti, Isigo na Mambimbi vilivyo Kaskazini mwa Kivu na kuharibu mali pamoja na kuua watu.
9 Februari, 2026

Sudan yarudi kuwa mwanachama wa IGAD baada ya kujiondoa kwa miaka miwili

Zaidi ya wahamiaji 40 wafariki katika ajali ya boti pwani ya Libya

Ghana yamrudisha Balozi wake kutoka Nigeria kwa tuhuma za udanganyifu katika uchaguzi

Somalia na Saudia Arabia zafanya makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi

Tanzania: Dkt. Nchimbi awaomba viongozi wa dini kumuombea Rais Samia
8 Februari, 2026
Young Africans ya Tanzania njia panda kutinga Robo Fainali ya CAF
Matokeo hayo, yanaifanya Young Africans kufikisha alama 5, ikishuka hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa kundi B kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

8 Februari, 2026
Wanousky Montana: Ucheshi kama daraja la mshikamano
Msanii wa vichekesho wa Niger aeleza nafasi ya ucheshi katika jamii.

8 Februari, 2026
Ousmane Majo apaza sauti ya matumaini kwa vijana wa Sahel
Mahojiano ya KayiTV yaangazia ndoto na uthubutu

8 Februari, 2026
Abel Zamani: Muziki kama sauti ya vijana wa Niger
Msanii apaza sauti yake kupitia KayiTV nchini Uturuki

7 Februari, 2026
Wapiganaji wa Sudan RSF wafanya mashambulizi ya droni, kuwaua watu kadhaa ikiwemo watoto
Mashambulizi ya ndege zisizokuwa na rubani yamezidisha hali mbaya kwa watu nchini Sudan, kuwaua ambao walikuwa wameondoka katika makazi yao Kordofan Kaskazini na kuongeza idadi ya waliofariki kwenye vita vinavyoendelea.

7 Februari, 2026
Uingereza yaagizwa kuwalipa fidia dola milioni $572 wachimba migodi wa Nigeria waliouawa 1949
Serikali ya kikoloni ya Uingereza ilipatikana na hatia ya kuwaua wachimba migodi wa Mkaa wa Iva Valley jimbo la Enugu wakati wakiandamana kupinga mazingira mabaya ya kazi.

7 Februari, 2026
UNICEF inasema watoto wasiopungua 20 wameuawa mwezi Januari nchini Sudan
Shirika hilo linaonya kuwa mamilioni ya watu wanahitaji msaada huku njaa kali ikienea maeneo mengine yanayokabiliwa na mapigano

7 Februari, 2026
Watu 13 wauawa katika shambulio lingine la kigaidi kaskazini mwa Nigeria
Walishambulia sehemu moja iliyokuwa na shughuli nyingi sokoni, kusababisha taharuki miongoni mwa wafanyabiashara, wakazi, anasema afisa mmoja

6 Februari, 2026
Maelfu ya Walibya wajitokeza kumzika mtoto wa Gaddafi
Maelfu ya Walibya walijitokeza kwa ajili ya mazishi ya mtoto wa Gaddafi ambaye alipigwa risasi na kuuawa wiki hii.

6 Februari, 2026
AU: Shambulizi la M23 kwenye uwanja wa ndege ni ‘tukio la kigaidi’
Tume ya Umoja wa Afrika imeliita shambulio la hivi karibuni katika uwanja mmoja wa ndege nchini DRC , kama “tukio la kigaidi”.


