Tyla aibuka mshindi wa Grammy mara ya pili, aandika historia ya muziki wa Afrika

Tyla ashinda Grammy ya Best African Music Performance kwa mara ya pili.
2 Februari, 2026
Uganda yapinga vikwazo vya Marekani, yauita mbinu ya kikoloni ya kutisha

Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai ubalozi wa Marekani umeingilia siasa za Uganda.
2 Februari, 2026
Jeshi la Nigeria lawaua kamanda wa Boko Haram na wapiganaji 10 Sambisa

Operesheni ilifanyika msituni Sambisa, jimbo la Borno.
2 Februari, 2026
Algeria yazindua reli ya migodi Gara Djebilet, mradi mkubwa wa chuma kusini mwa nchi

Inaunganisha Bechar, Beni-Abbes, Tindouf na mgodi wa Gara Djebilet.
2 Februari, 2026

Jeshi la Somalia lawaua viongozi wa Al Shabaab katika operesheni mahsusi

Sudan yarudisha safari za ndege za ndani baada ya miaka ya vita

TPLF yakaribisha wito wa mazungumzo huku kukiwa na vurugu katika eneo la Tigray nchini Ethiopia

Jaji wa Marekani azuia kwa muda kusitishwa kwa ulinzi wa kufukuzwa kwa Waethiopia

Ajali ya mgodi Rubaya DRC: Zaidi ya 200 wapoteza maisha
31 Januari, 2026
Umoja wa Afrika waapa kuunga mkono Niger baada ya shambulio la uwanja wa ndege
“Vitendo hivi vya kikatili ni sehemu ya kampeni ya ugaidi inayofanywa na vikundi vya itikadi kali vinavyolenga raia na miundombinu ya umma kwa makusudi,” anasema mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika.

30 Januari, 2026
Israel yamfukuza balozi wa Afrika Kusini Palestina
Inafuatia uamuzi wa Afrika Kusini kumfukuza Balozi mdogo wa Israel, na kuzidisha mvutano wa kidiplomasia unaohusiana na kesi ya mauaji ya halaiki ya Gaza

30 Januari, 2026
Serikali za Afrika zinaangazia mifumo ya fedha ya Kiislam baada ya mafanikio ya sukuk nchini Benin
Hatifungani za Sukuk za 2026 kufikia sasa ni zaidi ya dola milioni 580, kiwango kikubwa kikiwa ni cha nchini Benin cha dola milioni 500, kulingana na wataalamu.

30 Januari, 2026
Afrika Kusini yamfukuza mjumbe wa Israel kwa kumkashifu Rais Ramaphosa
Afrika Kusini imetangaza kuwa mjumbe wa Israel Ariel Seidman, ni mtu asiyekaribishwa nchini humo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo siku ya Ijumaa.

30 Januari, 2026
Air Tanzania yazindua safari za Ghana
Katika tukio hilo, ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania, ilitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, na kukaribishwa na salamu ya maji, maarufu kama ‘Water Salute’.

30 Januari, 2026
Somalia yazuia ndege ya Israel kupita katika anga yake
Somalia imekataa kuhuisha kibali cha kuruka juu ya anga lake kwa kampuni ya ndege ya Arkia Israeli Airlines, ambayo kwa kawaida hutumia anga la Somalia katika safari zake za moja kwa moja kati ya Tel Aviv na Bangkok.

30 Januari, 2026
Mkuu wa Majeshi wa Uganda aiomba radhi Marekani
Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Muhoozi Kainerugaba aiomba radhi Marekani kufuatia ‘tweets’ zake za awali.

30 Januari, 2026
Mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa DRC Patrice Emery Lumumba afariki dunia
Kifo chake kinakuja wakati kesi za mauaji ya Patrice Lumumba zikiwa bado zinaendelea nchini Ubelgiji.

30 Januari, 2026
Kiongozi wa Guinea-Bissau N’Tam apandishwa cheo cha juu zaidi cha jeshi
Meja Jenerali N’Tam sasa ana nyota nne badala ya mbili.

30 Januari, 2026
Burkina Faso yafuta vyama vyote vya kisiasa kwa madai ya Kusababisha ‘mgawanyiko’
Waziri wa Utawala Emile Zerbo alisema upigaji marufuku wa vyama hivyo ni baada ya mamlaka kubaini kuwa vyama vimekiuka miongozo iliyowaanzisha.


