3 Desemba, 2025

Trump Awataka Wasomali Walioko Marekani Kurudi Kwao, Atilia Shaka Mchango Wao Nchini

Asema hawachangii Marekani, akiongeza mvutano kuhusu wahamiaji.

50 1

3 Desemba, 2025

Serikali ya Tanzania yamsaka Mange Kimambi

Mange Kimambi amethibitisha kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii kuwa serikali ya Tanzania imefungua kesi dhidi yake na hivyo kupanga kumrudisha Tanzania.

26646b5f2ec54ea3b7054955ce68c8021ca8866f77f4ba21f0a862de86c59d8f

3 Desemba, 2025

Jeshi la Sudani lachukua tena mji wa Kusini Kordofan baada ya mapambano na vikosi washirika wa RSF

Jeshi la Sudan liliuteka tena mji wa Mabsut katika jimbo la Kordofan Kusini siku ya Jumanne, baada ya mapigano na vikosi vinavyoshirikiana na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF), walioshuhudia walisema.

b8f8b2338fb6654bb34c6da0f0c000be6f075756413c64783234ddf09b1d6538 main

3 Desemba, 2025

Libya inasema kwamba wakimbizi wa Sudan watakuwa kama Walibia na watapata shule, hospitali

Mamlaka ya Libya ilisema Jumanne kwamba itaongeza kasi ya kuwarejesha wahamiaji wa Kiafrika walio chini ya Jangwa la Sahara katika nchi zao, lakini ikasema wakimbizi wa Sudan watachukuliwa kama Walibya na kuruhusiwa kupata shule na hospitali.

2025 11 30t073809z 1643952699 rc2o1ia8tilj rtrmadp 3 sudan politics chad refugee children main

2 Desemba, 2025

Papa Leo XIV kutembelea bara la Afrika

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani, analenga kuanza ziara yake hiyo kwa kuitembelea kwanza nchi ya Algeria.

36ab7e5515daf7b0b918c5925293210ebc26da1089960ed3c20875a463c1a805

2 Desemba, 2025

Mapigano mapya yazuka siku chache kabla ya Tshisekedi na Kagame kutiliana saini mkataba wa amani

Katika taarifa yake kuhusu mapigano hayo, Jeshi la Ulinzi la nchini DRC (FARDC), limeituhumu Rwanda kwa kushirikiana na kikundi cha waasi wa M23 kwa kuratibu mfululizo wa mashambulizi katika maeneo ya Kaziba, Katogota na Lubarika.

cd2ae3531a0c0f1a6f41baf4804710462230e2d4d4ba3938e44d52c276d4c7d5

2 Desemba, 2025

Simba Sports Club ya Tanzania ‘yamtimua’ Dimitar Pantev

Pantev alichukua mikoba ya kuwafundisha ‘Wekundu wa Msimbazi’ mwezi Oktoba 2025, akitokea Gaborone United ya Botswana.

22c5e6d55231dc25a8c3df87bff09c2ab4f8c16c718401980e8bf3ae4f71fbfa

2 Desemba, 2025

Rais Samia Asema Nguvu Iliyotumika Oktoba 29 Ilikuwa Ya Lazima

“Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo… tulilazimika kulinda amani na kuzuia jaribio la kuvuruga utulivu wa nchi,” amesema Rais Samia Suluhu Hassan.

42 1

2 Desemba, 2025

Misri na Marekani Yapanga Mkutano wa Ujenzi Upya Gaza

Cairo inasema hali West Bank siyo chini ya hatari ukilinganisha na Gaza

40 1

2 Desemba, 2025

Trump afuta kila kumbukumbu ya Afrika Kusini kutoka tovuti ya G20 akiwa anaanza uenyekiti wa Marekani

Trump anasema G20 itazingatia ukuaji wa uchumi, nishati na teknolojia badala ya ajenda ya Afrika Kusini.

39 1
Inapakia...