30 Novemba, 2025

KWS imekanusha madai kuwa ujenzi wa hoteli umevuruga uhamaji wa nyumbu katika Maasai Mara

Hoteli hii ndiyo kielelezo cha hivi punde zaidi katika mpasuko mpana zaidi wa sekta ya utalii wa wanyamapori Afrika Mashariki.

b5fa6d5bbf0e5b81aefbc2e20cff34777bfbebef8b10ba228ffdbd7058afc53d

30 Novemba, 2025

Takriban watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya boti kupinduka kaskazini magharibi mwa DRC

Takriban watu 20 wamefariki na wengine kadhaa hawajulikani waliko baada ya mashua kupinduka kaskazini magharibi mwa Congo, kulingana na wakaazi wa eneo hilo.

cd635742859cc98f7df02f5b36993569e6f0172085e1c1ad1bebf5b5e7cbe988 main

30 Novemba, 2025

Watu saba wauawa nchini Kenya, wakiwemo askari polisi wa akiba, katika tukio la wizi wa ng’ombe

Watu saba, wakiwemo askari wa akiba wa Huduma ya Kitaifa ya Polisi, waliuawa siku ya Jumamosi katika mashambulizi yaliyopangwa ya wizi wa mifugo ambayo yalikumba vijiji vingi vya kaskazini Mashariki ya Kenya, mamlaka ilisema.

2025 11 13t181955z 321998399 rc2lvha41z98 rtrmadp 3 mali security main

28 Novemba, 2025

Umoja wa Afrika umesitisha uanachama wa Guinea-Bissau kufuatia mapinduzi ya kijeshi

Jeshi la Guinea-Bissau limemteua Jenerali Horta Inta-A kama Rais wa mpito wa nchi hiyo siku ya Alhamisi.

2025 11 27t192321z 1 lynxmpelaq0wu rtroptp 3 bissau security army main

28 Novemba, 2025

RSF nchini Sudan watuhumiwa kuigeuza hospitali ya Kordofan Magharibi kuwa kambi ya kijeshi

Kundi la Madaktari nchini Sudan limesema kwamba wapiganaji wa RSF wameigeuza Hospitali ya Al-Nuhud kuwa kituo cha kijeshi, hatua iliyowalazimu wahudumu wa afya kukimbia na kuwaacha raia bila huduma muhimu.

3011b5a78d685c263b214cd3f1caf404ced9609724608c938b0eca64e107f3e4 main

28 Novemba, 2025

Binti wa Zuma ajiuzulu ubunge Afrika Kusini

Zuma-Sambudla hajatoa ufafanuzi wowote hadharani kuhusu madai ya kuwarubuni watu kuenda kupigana nje ya nchi.

f4ac680a83a38675777ca13e4d735a5fd11c89c3342fcb1c1f042927c2aa953a

28 Novemba, 2025

Mwanasiasa Adolf Hitler ashinda kwa mara ya 5 mfululizo Namibia

Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 59 anasema yeye ni tofauti kabisa na dikteta huyo wa Ujerumani, na anapenda atambuliwe kwa jina lake la asili

5e3179dd4f55c1a2b80a36736f72147c7685daa885b25c95cf9e0cfe9d125563

28 Novemba, 2025

Wabunge wa Afrika Mashariki wapongeza ushindi wa Rais Samia

Pongezi hizo zinakuja wiki moja kabla ya wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) hawajakutana jijini Nairobi.

09507b825869712e05d5d8ae32dddd7f72c6394a4ad5843623a8724824652adf

28 Novemba, 2025

Rais wa Guinea-Bissau awasili Senegal baada ya jeshi kufanya mapinduzi

Senegal imethibitisha kuwa Embalo aliwasili mjini Dakar “akiwa salama” baada ya mapinduzi kuzuia kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi nchini Guinea-Bissau.

5f06381aba93101475b78f0f3658fccabcb47529a45f2a0917dc62c176ae6a5e

27 Novemba, 2025

Umoja wa Afrika wataka Rais wa Guinea-Bissau aachiwe mara moja

Umoja wa Afrika umetoa wito wa kuachiliwa “mara moja na bila masharti” kwa Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, baada ya jeshi kuchukua mamlaka ya nchi hiyo kwa nguvu.

dcd49da11e878c506eb3b777d05dbd05fcaa0eabdb57fb46d654b96f1032c1f9
Inapakia...