Kiongozi wa mapinduzi Guinea-Bissau, atangazwa kuwa ‘Rais wa mpito’

Maafisa, wanaojiita “Kamandi Kuu ya Kijeshi kwa Urejeshaji wa Usalama wa Kitaifa na Utulivu wa Umma,” wamechukua madaraka katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
27 Novemba, 2025
Mwanamke Mjerumani afungwa jela DRC kwa wizi wa benki

Honorine Porsche kwanza alikiri kuchukuwa pesa lakini baadaye akadai kuwa aliibiwa na maafisa wa usalama walioingia kwenye benki hiyo.
27 Novemba, 2025
Trump aipiga marufuku Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa G20 Miami 2026

Trump ametaja madai “mauaji ya halaiki” dhidi ya wakulima wazungu nchini Afrika Kusini na kukataa kuwapokeza rasmi urais wa G20 kama sababu za kuizuia nchi hiyo kuhudhuria mkutano wa mwakani.
27 Novemba, 2025
Rais wa Nigeria atangaza hali ya dharura kufuatia utekaji uliokithiri

Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza hali ya dharura ya usalama nchini kote kufuatia msururu wa mauaji na utekaji wa watu.
26 Novemba, 2025

Kiongozi wa jeshi la Sudan atoa wito kwa Trump asaidie kusitisha vita nchini humo

Jeshi lasitisha mchakato wa uchaguzi nchini Guinea-Bissau, latangaza kuchukua udhibiti

Hatimaye mlipuko wa volkano ya Hayli Gubbi ya Ethiopia wapungua

Jeshi la Sudan linasema kuwa limezuia mashambulizi ya RSF kwenye mji muhimu

Kampuni ya mafuta ya serikali ya Uganda yagundua hifadhi mpya ‘muhimu’
25 Novemba, 2025
Wasichana wa shule waliotekwa Nigeria wameachiwa huru
Wasichana 24 waliotekwa katika shule kaskazini-magharibi mwa Nigeria wiki iliyopita wameachiwa huru, msemaji wa gavana wa jimbo la Kebbi alisema siku ya Jumanne.

25 Novemba, 2025
Watu 10 zaidi watekwa nyara Nigeria
Watekaji nyara wamewateka wanawake na watoto 10 katika tukio jipya la utekaji nyara nchini Nigeria, polisi wamesema siku ya Jumanne.

25 Novemba, 2025
Wafuasi 300 wa upinzani wamekamatwa wakati wa kampeni nchini Uganda
Vyombo vya usalama nchini Uganda vimewakamata wafuasi na maafisa zaidi ya 300 kutoka chama cha mgombea wa urais wa upinzani Bobi Wine tangu kampeni za uchaguzi wa Januari kuanza mwezi uliopita, alisema msemaji wa chama hicho Jumanne.

25 Novemba, 2025
Ndege iliyobeba msaada wa chakula yaanguka Sudan Kusini, watatu wafariki
Ndege iliyokuwa ikisafirisha msaada wa chakula kwa shirika la kimataifa la Samaritan Purse ilianguka katika Jimbo la Unity nchini Sudan Kusini siku ya Jumanne, wafanyakazi wake wote watatu wamefariki, afisa wa shirika hilo amesema.

25 Novemba, 2025
Mwanajeshi wa zamani wa Uingereza anayesakwa nchini Kenya kwa mauaji anyimwa dhamana
Mwili wa Wanjiru ulipatikana kwenye tanki la maji taka katika Hoteli ya Lion’s Court katika mji wa Nanyuki nchini Kenya mnamo Juni 2012. Wanjir alionekana mara ya mwisho akiwa na kundi la wanajeshi wa Uingereza usiku wa Machi 31 na Aprili 1, 2012.

25 Novemba, 2025
Marekani yaondoa ushuru wa 15% kwa kakao ya Ghana, mauzo ya nje
Ghana imepata uthibitisho rasmi kutoka Marekani kwamba Washington imeondoa kikamilifu ushuru wa asilimia 15 uliowekwa kwa mauzo ya nje ya kakao na mazao mengine katika taifa hilo la Afrika Magharibi.

25 Novemba, 2025
Volcano ya Ethiopia yalipuka baada ya utulivu wa miaka 12,000
Volcano katika eneo la kaskazini mashariki mwa Ethiopia ililipuka kwa mara ya kwanza katika takriban miaka 12,000, na kurusha moshi mwingi hadi kilomita 14 angani.

25 Novemba, 2025
Jukumu la Afrika kama ‘mzalishaji wa malighafi litafikia kikomo hivi karibuni,’ mkuu wa AU anasema
Umoja wa Afrika (AU) Jumatatu ulitoa wito wa kuwepo kwa uwakilishi wa kudumu wa Afrika kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pamoja na uwakilishi sawa katika taasisi za fedha za kimataifa.

25 Novemba, 2025
RSF ya Sudan yatangaza kwa upande mmoja kusitisha mapigano kwa muda wa miezi mitatu
Mkuu wa Kikosi cha Haraka cha Sudan (RSF), Mohamed Dagalo, alisema Jumatatu kwamba wanamgambo wake wataingia mara moja katika mapatano ya kusitisha vita kwa miezi mitatu ili kuruhusu misaada ya kibinadamu.

25 Novemba, 2025
RSF ya Sudan yatangaza usitishaji vita kwa miezi mitatu bila ya makubaliano ya pamoja
Kiongozi wa wapiganji wa RSF alisema Jumatatu jioni kwamba wapiganaji wake watasitisha mapigano kwa kipindi cha miezi mitatu kwa misingi ya kibinadamu.


