Wataalamu wa Afrika watoa wito wa kukaguliwa tathmini ya viwango vya mikopo kwa bara

Wataalamu wa Afrika Mashariki Jumanne lilimwambia Kundi la 20 la uchumi mkuu kuongeza usimamizi wa mashirika ya ukadiriaji mikopo, ambayo waliwashtaki kwa kutumia mbinu zisizo wazi na za upungufu zinazoadhiri gharama za mikopo kwa serikali za Afrika.
19 Novemba, 2025
Eswatini yapokea dola milioni 5.1 kupokea wahamiaji waliofurushwa Marekani, waziri anasema

Eswatini ilipokea dola milioni 5.1 kutoka kwa serikali ya Marekani chini ya makubaliano ya kuwapokea raia wa nchi ya tatu waliofukuzwa na utawala wa Trump, waziri wake wa fedha alisema Jumanne.
19 Novemba, 2025
Gabon yatia saini makubaliano ya kihistoria ya ufadhili wa hali ya hewa kwa misitu ya mvua ya Congo

Serikali ya Gabon na muungano wa wafadhili wametia saini makubaliano yenye lengo la kulinda kilomita za mraba 34,000 za misitu ya mvua ya Bonde la Kongo nchini humo.
19 Novemba, 2025
Jeshi la Somalia limewauwa magaidi 11 wa Al Shabab na kuzuia shambulio la kujitoa muhanga

Jeshi la Somalia pamoja na wanajeshi washirika wamewaua magaidi 11 wa Al Shabab katika operesheni tofauti katika mikoa ya Mudug na Bakool, na pia kuzuia shambulio la kujitoa muhanga, kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi iliyotolewa siku ya Jumanne.
18 Novemba, 2025

Tanzania huenda ikakabiliwa na changamoto kupata mikopo kutoka nje, amesema Rais Samia

Sura mpya Baraza la Mawaziri Tanzania

Cape Verde, Mauritius na Ushelisheli wafanikiwa kuangamiza surua na rubela

Zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makazi yao kutoka Al Fasher ya Sudan tangu kutwaliwa na RSF

Rais wa Tanzania amteua binti na mkwe wake katika Baraza la Mawaziri
17 Novemba, 2025
Rais Samia amteua waziri mpya wa fedha, awaacha mawaziri wa mambo ya nje na madini madarakani
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Jumatatu alimteua balozi wa nchi hiyo nchini China, Khamis Mussa Omar, kuwa waziri wa fedha katika baraza lake jipya la mawaziri kufuatia uchaguzi uliokumbwa na utata mwezi uliopita.

17 Novemba, 2025
Tovuti za taasisi za serikali ya Kenya zashambuliwa
Mashambulizi hayi yalilenga baadhi ya mashirika ya serikali yanayotoa huduma muhimu.

17 Novemba, 2025
Mgodi waporomoka DRC na kuua watu wasiopungua 32
Daraja lililoporomoka katika mgodi wa cobalt kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuua wachimba migodi 32, afisa wa serikali ya mkoa alisema Jumapili.

16 Novemba, 2025
Wahamiaji 4 wafariki baada ya boti mbili zilizokuwa zimebeba makumi ya watu kuzama pwani ya Libya
Wahamiaji wanne walifariki baada ya boti mbili zilizokuwa zimebeba karibu watu 100 kupinduka katika pwani ya Al-Khums kaskazini magharibi mwa Libya, Shirika la Hilali Nyekundu la Libya lilisema Jumamosi jioni.

16 Novemba, 2025
Kikundi cha matabibu kinaripoti visa ya ubakaji wa wasichana wa Al Fasher baada ya RSF kuteka
Mtandao wa Madaktari wa Sudan unasema ubakaji “ni sawa na uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.”

16 Novemba, 2025
Mlipuko wa virusi vya Marburg umethibitishwa kusini mwa Ethiopia
Ugonjwa wa virusi uliogunduliwa unaonyesha kufanana na wale waliotambuliwa hapo awali Afrika Mashariki, CDC ya Afrika ilisema.

15 Novemba, 2025
DR Congo, M23 wasaini makubaliano ya amani ‘ya kihistoria’ nchini Qatar
Qatar imeandaa vikao vya moja kwa moja kadhaa kati ya serikali ya DRC na M23.

15 Novemba, 2025
Baraza la Maaskofu Tanzania lataka uwajibikaji kwa waliohusika na mauaji ya waandamanaji
Maaskofu wa Tanzania wamelaani mauaji hayo na kuitisha uchunguzi unaoshirikisha wadau wa ndani na wa nje huku wakiiomba serikali iwe tayari kutekeleza ripoti itakayotolewa

15 Novemba, 2025
Baraza la usalama la UN laongezea mwaka mmoja ujumbe wa amani wa Abyei
Azimio, lililoandikwa na Marekani, lilipata kura 12 huku mataifa mengi wanachama yakiibua wasiwasi kuhusu lugha mpya ya mamlaka ya ujumbe huo

15 Novemba, 2025
Kiongozi wa zamani wa waasi wa DRC anayeshtakiwa Paris kwa uhalifu wa kivita aanza mgomo wa kula
Roger Lumbala, aliyekuwa kiongozi wa waasi ameshtakiwa kwa “njama ya uhalifu kuandaa uhalifu dhidi ya ubinadamu” na “ushirikiano wa uhalifu dhidi ya ubinadamu” wakati wa vita kutoka 1998 hadi 2003.


