12 Novemba, 2025

Duma wa Botswana aipa India zawadi ya duma 8

Kulingana na Rais Boko Duma wa Botswana, uamuzi huo unalenga kuhuisha idadi ya wanyamapori hao nchini India.

bc3fe30ef585d6478c03fc892aa5013aef7656e79cd506f2d4c4466110ca1848

12 Novemba, 2025

Kesi ya Roger Lumbala wa DRC yaanza kusikilizwa

Serikali ya DRC ilitoa hati yake ya kukamatwa kwake mwaka 2011 baada ya kuhusishwa na kukiunga mkono kikundi cha waasi cha M23, na kulazimika kukimbilia nchini Ufaransa.

15dd7113ac49c2afcd199538cb3883a2af9c68d58e6d862ee12cce3a3cf57ebc

12 Novemba, 2025

Kesi za ubakaji, watoto kupotea zaripotiwa Darfur, Sudan – Umoja wa Mataifa

Wanawake wanaokimbia mji wa al-Fashir nchini Sudan wameripoti mauaji, ubakaji wa kimfumo na kupotea kwa watoto wao baada ya mji huo kutekwa na wapiganaji wa RSF, kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya wanawake.

c5a34c1413ccb4f1866706b394f1c6895b4f3e528331edc0f5655bf52ecf7cad

12 Novemba, 2025

Libya yatakiwa kufunga vituo vya kuwazuilia wahamiaji katika mkutano wa Umoja wa Mataifa

Libya imetakiwa na Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kufunga vituo vya kuwazuiliia wahamiaji ambapo mashirika ya haki za binadamu yanasema wahamiaji na wakimbizi wamekuwa wakiteswa, kunyanyaswa na wakati mwingine kuuawa.

1762938528624 clangi 8454c0b8fe4a5fe9eb3dde8db0a2b396efbc07a8c1065deedbf556eee2e1b1ac

12 Novemba, 2025

Rais Museveni aonya kuzuka kwa vita endapo nchi za Afrika zitashindwa kufikia Bahari ya Hindi

Katika kauli iliyotafsiriwa kama onyo lililolenga nchi jirani, Rais Yoweri Museveni ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea kwa vita katika siku zijazo endapo nchi za Afrika ambazo hazina bandari zitaendelea kunyimwa haki ya kufikia Bahari ya Hindi.

29cf5ee705f03d7629c5e55219272a9348fe86a198e015b955038865a676ec9c main

12 Novemba, 2025

UN: Milioni 11 wanawake na wasichana wanabeba uzito mkubwa wakati njaa ya Sudan inaendelea kupamba moto

Takriban asilimia 73.7 ya wanawake “hawafikii kiwango cha chini cha utofauti wa lishe, inayoonyesha lishe duni na hatari kubwa ya utapiamlo,” shirika hilo linaripoti.

ab95389180d5a39aae0d524bdc36be17e91434c196290aee3b385d2c384cf06b

12 Novemba, 2025

Ethiopia yachagguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya hewa, COP32

Ethiopia inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya hewa wa COP32 mwaka 2027 baada ya Kundi la Wapatanishi wa Afrika kuidhinisha hatua hiyo.

ethiopia dam 97350 main

12 Novemba, 2025

Ghana yafichua sababu ya ajali ya helikopta iliyoua watu wanane, wakiwemo mawaziri, mwezi Agosti

Ajali ya helikopta ya kijeshi nchini Ghana iliyowaua watu wanane, wakiwemo mawaziri wa ulinzi na mazingira, ilisababishwa na hali mbaya ya hewa, kulingana na uchunguzi rasmi uliochapishwa Jumanne.

3a10b4bfb252b2fb276dc1cd502152a18e473a66ade8f0bb89d44cb7e95912ff main

11 Novemba, 2025

Kenya kuanzisha balozi zake mpya Vatican City, Denmark na Vietnam

Kulingana na baraza hilo, uwepo wa ofisi ya ubalozi nchini Vatican, ni wa faida kwa Kenya, kutokana na fursa za maendeleo ya miradi ya kijamii kama vile elimu na dini.

09f2ef0382afc1a66f12eb916a7b432b1c8b530ce093bc8f9e0ae2ec08911ca5

11 Novemba, 2025

Mtoto wa Gaddafi aachiliwa huru baada ya miaka kumi gerezani

Hannibal Gaddafi, kitinda mimba wa aliyekuwa kiongozi wa Libya hayati Muammar Gaddafi, hatimaye ameachiliwa huru na mamlaka za nchini Lebanon.

lebanon libya 97229 main
Inapakia...