9 Novemba, 2025

Chama tawala nchini Djibouti kimemteua Rais Guelleh kwa muhula wa sita

Rais Ismail Omar Guelleh amekuwa madarakani tangu 1999, na hakuna vikwazo vya kisheria vinavyomzuia kugombea tena.

0ffb27a0c0e0ec4e9b47a75d03f4e148ff11cca004e1f365c352bccabff0ba95

8 Novemba, 2025

Amaan Golugwa akamatwa huku polisi Tanzania ikiwasaka viongozi wa upinzani kufuatia maandamano

Tayari mamia ya wananchi wamefunguliwa mashtaka kwa makosa ya jinai huku viongozi wa upinzani wakiwekwa kwenye orodha mpya ya watakaokamatwa na kushtakiwa

bb5af8ed3b7a40c2c69078981cf4b28976b17f4241591de3bc84573cbecbef8d

8 Novemba, 2025

Wafanyakazi waokolewa baada ya maharamia kushambulia meli ya mafuta kutoka Somalia

Maharamia hao waliiacha meli ya mfanyabiashara baada ya “kuonyeshwa nguvu”, taarifa ya Jeshi la Wanamaji la Umoja wa Ulaya ilisema.

6e59fe4ef800daa247d85b2fe2542d763e759d5bd41c99a136715575efaabbcd

8 Novemba, 2025

Mwanajeshi wa Uingereza akamatwa kwa mauaji ya mwanamke wa Kenya mwaka 2012

Robert James Purkiss aliyekamatwa huko Tidworth, Wiltshire mnamo 6 Novemba na alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu ya Westminster siku ya Ijumaa na huenda akarejeshwa Kenya kujibu mashtaka

d0d48b5f8748317064ead92fdb60572a7324e18ec0a5d4f16bb633e920634adc

8 Novemba, 2025

Trump aapa hakuna afisa wa Marekani atakayehudhuria Mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini

Trump anasema anatarajia kuandaa Mkutano wa G20 wa 2026 huko Miami.

33e85a4b8db11ec16673fe303b129ed7facec67897f7ab358d375b5ac00a2772

7 Novemba, 2025

Raia wa Sudan Kusini kurejeshwa nyumbani kutoka US

Awali Sudan Kusini iliorodheshwa miongoni mwa mataifa ambayo yangefaidika kwa muda  mnamo Oktoba 13, 2011, kulingana na mapigano nchini humo kati ya serikali ya rais Salva Kiir na makamu wake wa wakati huo Riek Machar.

94b4c436a50ddc2daf880d52d29ad81e67335931eb4c5d3c98a99d5f9409e6cc

7 Novemba, 2025

Tanzania yawashtaki watu 98 kwa uhaini

Miongoni walioshikwa ni mfanyabiashara, Jenifer Bilikwiza Jovin almaarufu Niffer amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo Ijumaa.

e39f6f91a92be534f7a63d9b5217056c4c852f0369ea6d6a541608f01e757896

7 Novemba, 2025

Rais Ruto atoa wito wa kuachiliwa kwa Wakenya wanaoshikiliwa Ukraine

Rais wa Kenya William Ruto atoa wito wa kuachiliwa kwa Wakenya wanaoshikiliwa nchini Ukraine baada ya kufanya maongezi ya simu na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky.

7995bc694a7ee2a4d5f6533a6e924f097e5c829cfe361a64e98225586c9fea1c

7 Novemba, 2025

Paul Biya, kiongozi mkongwe zaidi duniani, aapishwa kuwa Rais wa Cameroon

Paul Biya, kiongozi mkongwe zaidi duniani, mwenye umri wa miaka 92 ameapishwa kuwa Rais wa Cameroon kwa muhula wa nane.

f0fb17b656adc7737d97c6708fba9259a9f057d3a0805022d78ae8cf366eba87

7 Novemba, 2025

Kenya yathibitisha kuuwawa kwa mwalimu Mkenya Tanzania

John Okoth Ogutu, Mkenya mwenye umri wa miaka 33 aliyeishi Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi, amethibitishwa kuuwawa kwa risasi wakati wa machafuko yaliyotokea Dar es Salaam baada ya uchaguzi.

e3b0be332ad039c7d69110a728ee9a0ff2c7e8a9359477b9300da645da0035ad
Inapakia...