27 Oktoba, 2025

Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara ashinda uchaguzi

Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, 83, amechaguliwa tena kwa muhula wa nne katika uchaguzi uliokumbwa na idadi ndogo ya wapiga kura, kwa mujibu wa matokeo ya awali.

4872ae965efb72a26f3d7c8d301b55f439b9f202e2031d8db76973130587e229

27 Oktoba, 2025

RSF yashutumiwa kwa kutekeleza mauaji ya kikabila huku mashambulizi mapya yakiripotiwa Darfur, Sudan

Kundi la Madaktari la Sudan pia limeishutumu wapiganajai wa RSF kwa kuwaua raia kutokana na asili zao za kikabila na kupora vituo vya afya katika mji wa El-Fasher.

2636f260bda8ff75a5d7936bc0d8868202a7b738f151ea3bb08e9b5110a224ce

27 Oktoba, 2025

Paul Biya wa Cameroon, 92, achaguliwa tena, matokeo rasmi yaonesha

Rais mwenye umri mkubwa zaidi duniani Paul Biya ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa Oktoba 12, ikiwa ni muhula wake wa nane ambao huenda akawepo madarakani hadi karibu miaka 100.

7e351771d5922b7ab03f9edce34983f8ee509088bc4e4515b4f32e3da6bf1bac

27 Oktoba, 2025

Kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania kukamilika

Pazia la kampeni hatimae linafungwa nchini Tanzania, hii ikiashiria miezi miwili ya heka heka za wanasiasa kutoka vyama mbalimbali kuomba ridhaa ya wananchi Ili kupewa nafasi za uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

bb13b6d0914204c6996f4cdb0e276198bfa863ab84a84bb3644b1395f679c07b

27 Oktoba, 2025

Djibouti yaondoa ukomo wa umri kwa wagombea urais

Hii inafungua mlango kwa Ismail Omar Guelleh kuwania muhula wa sita licha ya kuwa sasa hivi ana umri wa miaka 77.

guelleh

26 Oktoba, 2025

Kenya yakamata meli na raia wa Iran wanaoshukiwa kusafirisha dawa za kulevya

Raia sita wa Iran wamekamatwa kwenye pwani ya Kenya mjini Mombasa wakiwa na dawa za kulevya zenye thamani ya dola milioni 63

5506bdcf5f93224303618b8995a53b73a5bae5b94828973ee46605862ac9f649

26 Oktoba, 2025

Rais wa Malawi atangaza hali ya dharura kwa ukosefu wa chakula

Takriban watu milioni 4 wako katika hatari ya kukumbwa na uhaba mkubwa wa chakula mwaka huu na mapema mwaka ujao.

2025 10 04t134740z 2082942572 rc2y4haioy6u rtrmadp 3 malawi election

25 Oktoba, 2025

Oauttara wa Côte d’Ivoire awania muhula wa nne

Kuna wapiga kura zaidi ya milioni nane waliosajiliwa na wagombea uraisa watano.

d58d3398b5eac4075b628191b4e66bc907e8adc3e96a47693139ecd5eb4e9a39

24 Oktoba, 2025

Watoto watatu hufa kila siku El-Fasher nchini Sudan kutokana na utapiamlo: Ripoti

“Kwa zaidi ya mwezi mmoja, hali ya kibinadamu mjini El-Fasher imezidi kuwa mbaya sana,” Kundi la Madaktari la Sudan limesema katika taarifa.

80d560c51bf9194477a7938f53aa2f395265b9c10d69a2f36ee2d1a48e4ff40f

24 Oktoba, 2025

Rais Tinubu awabadilisha viongozi wakuu wa jeshi la Nigeria

Mabadiliko hayo ni ya “kuimarisha usalama wa taifa”, kulingana na msemaji wa Rais, na pia yanakuja siku chache baada ya kitengo cha ulinzo nchini humo kukana madai ya njama ya mapinduzi.

0b4e364b2ec9484d6c37f437a9fa7c93043b116f9b921db7d0ff53d0b542e371
Inapakia...