Chama tawala nchini Zimbabwe chachukua hatua ya kurefusha muhula wa rais Mnangagwa

Azimio lililopitishwa katika kongamano la kila mwaka la chama linaelekeza serikali “kuanzisha marekebisho ya sheria yanayohitajika” ili kutekeleza mpango huo.
19 Oktoba, 2025
Jeshi la Nigeria limekanusha kukamatwa baadhi yao kwa ‘njama ya mapinduzi’ dhidi ya Tinubu

Taarifa ya awali ya jeshi ilisema maafisa 16 wamekamatwa kwa “maswala ya utovu wa nidhamu”.
19 Oktoba, 2025
Jeshi la Sudan liko tayari kwa mazungumzo ya kurejesha umoja: Burhan

Matamshi ya Burhan yalikuja kabla ya mikutano ya pande nne iliyopangwa mjini New York kushinikiza suluhu la amani la vita nchini Sudan.
19 Oktoba, 2025
Kiongozi wa mapinduzi ya Madagascar Randrianirina aliapishwa kuwa rais

Umoja wa Afrika na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wamelaani mapinduzi hayo, ambayo yalikuja baada ya wiki kadhaa za maandamano ya “Gen Z” yaliyochochewa na uhaba mkubwa wa nishati na maji.
18 Oktoba, 2025

Obama amkumbuka kwa sifa tele Raila Odinga, kiongozi wa upinzani wa Kenya aliyefariki

Msongamano katika mazishi ya Raila wasababisha watu kadhaa kujeruhiwa

Uturuki na Afrika zaanza enzi mpya ya ushirikiano thabiti – AU

Wasira wa CCM awataka vijana kutotumika kuiharibu Tanzania

Tanzania: Viongozi wa CHADEMA kwenda Kenya kumzika Raila Odinga
17 Oktoba, 2025
Kiongozi wa kijeshi Madagascar kuapishwa huku akiahidi mazungumzo na AU
“Uamuzi huo ulitarajiwa. (Lakini) kuanzia sasa, kutakuwa na majadiliano. Tutaona jinsi mambo yataendelea,” Koloneli Michael Randrianirina anasema.

16 Oktoba, 2025
Watu wanne wafariki dunia kufuatia majaribio ya vikosi vya usalama kuwatawanya waombolezaji wa Raila
Watu wanne wamefariki dunia jijini Nairobi, Kenya, siku ya Alhamisi baada ya vikosi vya usalama kufyatua risasi na kurusha mabomu ya gesi kuwatawanya maelfu ya watu waliokusanyika kwenye uwanja wa Kasarani kuuaga mwili wa Raila Odinga.

16 Oktoba, 2025
Cyril Ramaphosa amsimamisha kazi Mkuu wa Idara ya Usalama ya Afrika Kusini
Kusimamishwa kwa Fazel kunakuja katikati ya sakata la tuhuma mbalimbali zinazolikabili jeshi la polisi la nchi hiyo pamoja na idara ya usalama hususani zile zinazomkabili kamishna wa Polisi wa eneo la KwaZulu-Natal, Nhlanhla Mkhwanazi mwezi Julai.

16 Oktoba, 2025
Umoja wa Afrika waifungia kwa muda Madagascar baada ya mapinduzi
Mwenyekiti wa Tume ya AU Mahamoud Ali Youssouf anasema kuwa kusimamishwa huko kutakuwa na athari mara moja.

16 Oktoba, 2025
Bunge la Afrika Mashariki lachagua wajumbe maalumu wa kupambana na ufisadi, kukuza uwajibikaji
Uchaguzi huo umefanyika katika kikao cha bunge hilo kilichofanyika katikati ya wiki jijini Arusha, Tanzania.

15 Oktoba, 2025
Kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi Madagascar asema ‘anachukua nafasi ya urais’
Ofisi ya Rais aliyeondolwa madarakani wa Madagascar imelaani “hatua haramu” iliyotolewa na kikosi cha kijeshi kuhusu kusimamishwa kutumika kwa katiba.

15 Oktoba, 2025
Safari ya Luhaga Mpina kuwania Urais wa Tanzania yafikia mwisho
Hata hivyo, ACT Wazalendo imesisitiza kuwa itachukua hatua zaidi dhidi ya maamuzi hayo, ikiwemo kukata rufaa na kuwashirikisha wadau mbalimbali, ndani na nje ya nchi.

15 Oktoba, 2025
Afrika yamuomboleza waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga
Raila Odinga alikuwa akipata matibabu nchini India

15 Oktoba, 2025
Waziri Mkuu wa zamani Kenya, Raila Odinga, 80, afariki
Kulingana na familia yake, Raila odinga amekuwa akipokea matibabu nchini India kwa siku kadhaa kabla ya habari za kifo chake kutangazwa mapema Jumatano.

15 Oktoba, 2025
Takriban watu saba wauawa kwenye mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za RSF nchini Sudan
Angalau watu saba wmeuawa Jumanne kutokana na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yaliyotekelezwa na Kikosi cha Wanamgambo wa RSF, nchini Sudan, kwa mujibu wa mamlaka za eneo hilo na wahudumu wa afya.


