26 Januari, 2026

Zaidi ya raia wa Sudan milioni 3 warudi kwao: Umoja wa Mataifa

Raia wa Sudan zaidi ya milioni tatu waliokuwa wameondoka katika makazi yao kutokana na vita vya karibu miaka mitatu wamerudi nyumbani, shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu wahamiaji limesema siku ya Jumatatu.

859f198745a0a9da0b60cab3684922810f51e391576993be35a7ab2ca65f19c8

26 Januari, 2026

Rais wa Nigeria Tinubu kufanya ziara Uturuki kwa mualiko wa Rais Erdogan

Ziara ya Bola Ahmed Tinubu itaangazia ushirikiano katika maeneo mbalimbali ikiwemo usalama, elimu, ustawi wa jamii, uvumbuzi, na masuala ya anga, ilisema ofisi ya rais wa Nigeria

7d7d806c27e52dd83b5616b6fb97fd15f98fc2f5adf751f47b611cd466b0893a

26 Januari, 2026

Guinness yathibitisha rekodi ya mwanaharakati wa mazingira wa Kenya kukumbatia mti kwa saa 72

Siku ya Jumatatu Guinness World Records ilithibitisha rekodi ya mwanaharakati wa mazingira wa Kenya Truphena Muthoni ya kuvunja ile yake ya awali kwa kukumbatia mti kwa saa 72 mfululizo.

ae4c59c22b2c71ba7618cd3f5e7ec4cf9af4ac4745dc69d0a33ef62a350566e2

26 Januari, 2026

Jeshi la Sudan lachukua udhibiti wa maeneo muhimu kutoka kwa RSF karibu na mpaka wa Ethiopia

Jeshi linasema kuwa vikosi vyake vimechukua tena udhibiti wa eneo la Al-Silk katika jimbo la Blue Nile

a74b0174fc2cf4140c718c404fa8989521399f54e04e2dca0d4751311551f2b2

26 Januari, 2026

Ethiopia yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg

Tangu kuzuka kwa ugonjwa huo, takriban watu 14 walithibitishwa kuambukizwa kati yao 9 walifariki wakiwemo wafanyakazi wawili wa afya na wengine 5 walitibiwa na kupona.

7ecd517f43862dd19f6969b766a5e5979f82d9b78ce2952510cfd68e9f61bfd8

26 Januari, 2026

Sudan Kusini yaamuru kuhamishwa kwa maafisa wa UN katika kaunti tatu kabla ya opresheni ya kijeshi

Serikali ya Sudan Kusini imesema operesheni ya kijeshi iliyopewa jina la “Operation Enduring Peace” iko karibu kuanza.

f763c1f208bc0acb688774edd805db778cc940621050f83f1db11342a4107d5c

26 Januari, 2026

Kusini mwa Afrika: Usafiri wa shule binafsi wasimamishwa kufuatia msako wa vibali baada ya ajali mbaya

Usafiri wa shule binafsi wasimamishwa North West, Afrika Kusini.

363

26 Januari, 2026

Benki ya Dunia na Qatar kushirikiana kusambaza umeme kwa watu milioni 300 Afrika

Makubaliano pia yanajumuisha kutengeneza ajira na kusaidia nchi zilizoathiriwa na migogoro.

362

26 Januari, 2026

Burhan: Amani Sudan haiwezekani bila kuondolewa RSF

Burhan asema suluhu yoyote inayohusisha RSF ni kuahirisha mgogoro.

360

26 Januari, 2026

Macron ataka kuunda upya uhusiano wa Ufaransa na Afrika

Macron asema Ufaransa inavunja mifumo ya kiukoloni na kujenga ushirikiano mpya.

319
Inapakia...