24 Januari, 2026

WHO yaonya kuhusu mlipuko wa magonjwa ya maji katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko

Mafuriko yameathiri maeneo ya Malawi, Msumbiji, Afrika Kusini, Tanzania, Zambia na Zimbabwe. WHO imeomba mahitaji ya dharura ya kibinadamu kama makazi, maji salama na upatikanaji wa huduma muhimu za afya.

095125bef201b9dbc2809d7d7a945adc7b2d842a64d0f7e5bdfb9bcdc255e3b3

24 Januari, 2026

Rais wa Côte d’Ivoire Ouattara amteua kaka yake kama makamu wa waziri mkuu

Kakake rais, Tene Birahima Ouattara, atashikilia nafasi hiyo mpya pamoja na wizara ya ulinzi.

9f6fd99397ee4bf8c020722d42edc16b992ec1740ee422d7ac4c2b64608b8ebc

24 Januari, 2026

Mgodi wa dhahabu wa Sudan ulioporomoka na kuua watu sita huku makumi kadhaa wakisalia kukwama

Shughuli za uokoaji zinaendelea nchini Sudan huku makumi ya wachimba migodi wakisalia kukwama chini ya vifusi vya migodi.

04c4f7f075dd72cabcf340c2007a93aa182b93b36b23b272ae55da793c222a81

24 Januari, 2026

Msumbiji inaomba msaada wa kibinadamu baada ya mafuriko mabaya zaidi katika miongo kadhaa

Mamlaka zinaamini mafuriko mabaya zaidi kuwahi kutokea katika miongo kadhaa yamesababisha watu 600,000 kuyahama makazi yao huku takriban waathiriwa 13 wakiripotiwa kufariki katika kipindi cha wiki mbili zilizopita.

1769247724048 ggrnr a9bfe8ccdb2ac053526f2fa6e9920694ddef12853f3f71dac6c4119373167d6a

23 Januari, 2026

Tanzania: Utekelezwaji wa Bima ya Afya kwa Wote kuanza Januari 26

Kitita cha huduma muhimu kwa awamu ya kwanza kitaanza kutumika Januari 26, 2026, kwa kundi la wananchi watakaogharamiwa na serikali, kulingana na Waziri wa Afya wa nchi hiyo, Mohamed Mchengerwa.

581549fb9b6c235f266c6ae07b0dbad34ad9f5cfc1d014a6409dd74a2223bee1

23 Januari, 2026

Mkuu wa Majeshi Uganda asema wamewaua wapinzani 30

Rais wa Uganda Yoweri Museveni, mwenye umri wa miaka 81, alishinda muhula wake wa saba kwa kupata asilimia 72 ya kura dhidi ya mpinzani wake Bobi Wine ambaye amepata asilimia 25, kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uganda.

2025 05 02t134327z 1 lynxmpel410m4 rtroptp 3 uganda politics

23 Januari, 2026

Rais Putin wa Urusi ampongeza Rais Museveni wa Uganda

Rais Yoweri Museveni alipata asilimia 71.6 ya kura katika uchaguzi wa urais uliofanyika tarehe 15 Januari, na hivyo kushinda muhula wa saba madarakani.

25407dbf40b5cfa31762235c3083ac8589cbd801cfa5fd15a6df29b5a69c02dd

23 Januari, 2026

Morocco yasema mshikamano wa Afrika hautavunjwa na matukio ya fainali ya AFCON

Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco alisema siku ya Alhamisi kuwa undugu wa Afrika utaendelea kushamiri licha ya kile alichokiita vitendo “vya kusikitisha” vilivyotia doa fainali ya AFCON dakika za mwisho kati ya Morocco na Senegal.

350

23 Januari, 2026

Afrika Kusini yazidisha ukaguzi wa usafiri wa shule baada ya ajali mbaya

Magari 60 ya shule yamezuiwa baada ya ukaguzi wa usalama.

349

22 Januari, 2026

Rwanda kufanyia majaribio kliniki zenye kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI)

Nchini Rwanda, muhudumu mmoja wa afya huhudumia wagonjwa 1,000, ambao ni uwiano tofauti na ule pendekezwa wa wahudumu wa afya wanne kwa kila wagonjwa 1,000.

9a7cd689d8010b3ebab38ac4e5dbe7f081c4bb3e6715e51665a79d59ca827b19
Inapakia...