4 Oktoba, 2025

Misri inalaumu bwawa kubwa la Ethiopia kwa kuongezeka kwa maji ya Nile na mafuriko

Cairo inaishutumu Ethiopia kwa kusimamia vibaya bwawa la GERD baada ya video zilizochapishwa mtandaoni zikionyesha wakaazi kaskazini mwa Misri wamezama maji hadi kiunoni na nyumba zilizozama kwa kiasi.

2025 09 09t080107z 682044847 rc27ogalq5sy rtrmadp 3 ethiopia dam

3 Oktoba, 2025

Watu 14 wauawa katika kambi ya wakimbizi wa ndani mashariki mwa DRC

Wengi ya waliouawa ni wakulima ambao walikuwa wanaenda katika mashamba yao, taarifa zinasema

079cf63ea94405e8c6c8e2f7df640d97e5f38f8b6bdec155cdc5a402ef6458ba

3 Oktoba, 2025

Wafanyabiashara wa Kenya kutoathiriwa na agizo jipya la leseni za biashara Tanzania

Kenya imekaribisha hatua hiyo ya serikali ya Tanzania, na kusema inaonesha utashi wa ushirikiano ndani ya EAC.

ef9ecf42d9891dc12f3148f0c98e1b4c972f22ecbe3b490e6875330cbf95816d

3 Oktoba, 2025

WHO: Kipindupindu ‘hatari kubwa kwa afya ya umma’ huku zaidi ya maambukizi 190,000 yaripotiwa

WHO inasaidia vituo vya matibabu ya kipindupindu, kutoa vifaa na kuwezesha chanjo

sudan cholera 11637

2 Oktoba, 2025

Jitihada za dharura zapunguza kasi ya maambukizi ya Ebola DRC

Ugonjwa wa Ebola, ambao ni mbaya zaidi nchini DRC, ulitokea kati ya mwaka 2018 na 2020, na kusababisha karibu vifo 2,300 na maambukizi 3,500.

19dc465daeccbfa9fa9f550711e7391d49ec5d2c618ecfa24c5e889470f6a93d

2 Oktoba, 2025

Maafisa wa Kenya Haiti kurudi nyumbani

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha kikosi kipya cha kimataifa cha Kupambana na Magenge (GSF) nchini Haiti na kuchukua nafasi ya ujumbe wa usaidizi wa usalama unaoongozwa na Kenya.

united nations 80th anniversary things to know 07258

2 Oktoba, 2025

Mkuu wa haki za binadamu UN atoa wito wa kuzuiwa ‘ukatili mkubwa zaidi’ El Fasher, Sudan

Raia wamezuiwa kutoka Darfur Kaskazini, njaa, mashambulizi yanayoongezeka, anaonya Volker Turk

25560bfe6867947b7c1e4dab6982ff541c609e8fe199300a6911eacb57808728

2 Oktoba, 2025

Maandamano ya Morocco: Zaidi ya 400 wakamatwa baada ya mapigano ya kuvuruga na polisi

Maandamano yanayoongozwa na vijana yametikisa miji kadhaa ya Morocco, ambapo waandamanaji wanaitaka serikali kufanya mabadiliko katika sekta za afya na elimu ya umma.

2025 10 01t231919z 1390958148 rc2u1hasqdx8 rtrmadp 3 morocco protests

2 Oktoba, 2025

Wakazi Dar es Salaam, Tanzania wapata mabasi mapya ya Mwendokasi

Ni katika muendelezo wa matukio hayo ambapo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alilazimika kukutana na baadhi ya wakazi wa jiji hilo na kujaribu kutuliza hasira za wananchi, huku akiomba msamaha kwa niaba ya serikali.

af6e13031c81d7c3dcbc6c0ca9590c65b0a2587326f29304dadd71fdc34aaeef

1 Oktoba, 2025

Ahueni kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri bei za mafuta zikishuka mwezi Oktoba

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazotumika kuanzia Oktoba 1, 2025.

bc49753b166261c0cb96388496801f130795f83756e30f68b425e4147f546b80
Inapakia...