21 Januari, 2026

Botswana yaonya ziada ya almasi kudhoofisha uchumi wake

Botswana yashikilia karati milioni 12, mara mbili ya kiwango kilichowekwa.

338

21 Januari, 2026

Bobi Wine: Si kosa kupinga utawala wa Museveni

Mimi si mhalifu bali mgombea Urais na sio hatia kugombea dhidi ya baba yake.

6af9663eb4e4a68e58f0f9dcddd0373979e3bb005927aa81975bb5b001d40676

21 Januari, 2026

Wafanyakazi wa anga Kenya watishia kufunga anga baada ya notisi ya mgomo wa siku 7

Imefika miaka 11 bila nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa anga.

335

21 Januari, 2026

Tanzania na Marekani kushirikiana katika utafiti na uwekezaji wa madini muhimu

Tanzania na Marekani kushirikiana katika utafiti wa madini ya kimkakati.

334

21 Januari, 2026

DRC yaorodhesha miradi ya madini kwa wawekezaji wa Marekani

DRC yaorodhesha miradi ya madini kwa wawekezaji wa Marekani.

331

21 Januari, 2026

Polisi wa Nigeria wakiri utekaji wa waumini Kaduna baada ya kukanusha awali

Polisi wa Nigeria sasa wakiri utekaji wa waumini Kaduna.

329

21 Januari, 2026

Mashabiki wajaa Dakar kusherehekea ubingwa wa AFCON wa Senegal

Mashabiki wa Senegal wajaa mitaani kusherehekea ubingwa wa AFCON.

328

21 Januari, 2026

Mafuriko yaua watu watano Tunisia na Algeria

Mvua kubwa na mafuriko yameua watu watano Tunisia na Algeria.

326

20 Januari, 2026

Katibu Mkuu wa kwanza wa EAC Edwin Mtei kuzikwa Januari 24

Kulingana na Mashinda Mtei, ambaye ni mtoto wa Gavana huyo wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Mzee Mtei anatarajiwa kupumzishwa katika kata ya Ambureni, eneo la Tengeru, Arusha, Jumamosi ya Januari 24.

9d5e22355e874f7db3bde7985d8b39b7314596b4310b3cfed81a130421c23e45

20 Januari, 2026

Tanzania yapanda juu nafasi mbili viwango vya ubora wa soka vya FIFA

Kulingana na orodha hiyo ya ubora ya FIFA, Tanzania imevuna jumla ya alama 1186.14 kutoka alama 1181.22, ilizokuwa nazo awali.

fbcedcc4e58cb6f04fa85a342786f2c00592ea8e155c89e76e42742b29a3f085
Inapakia...