Mfalme Mohammed VI ajiunga na “Baraza la Amani” lililoanzishwa na Trump kama mwanachama mwanzilishi

Baraza la Amani litachangia juhudi za amani Mashariki ya Kati na kupendekeza mbinu mpya za kutatua migogoro duniani.
20 Januari, 2026
Afya ya Besigye yazua wasiwasi, chama chake chataka hatua za haraka

Besigye alipelekwa usiku katika kituo cha afya jijini Kampala.
20 Januari, 2026
Somalia na Qatar zasaini makubaliano mapya ya ushirikiano wa kijeshi

Makubaliano mapya yanalenga kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na uratibu wa kiusalama.
20 Januari, 2026
ICC: Ushahidi wa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu Darfur, Sudan

“Ushahidi unaonyesha mifumo ya ukatili El Geneina 2023 imejirudia Al Fasher 2025.” — ICC
20 Januari, 2026

Jeshi la DRC lachukua tena udhibiti wa Uvira baada ya M23 kujiondoa

Madagascar: Wanasiasa wawili wa karibu na Rajoelina wakabiliwa na mashtaka ya kuhatarisha usalama wa taifa

Vifo vilivyotokana na mafuriko nchini Msumbiji, Afrika Kusini vyaongozeka

CAF yaahidi kuchukua hatua baada ya vurugu kuharibu fainali ya AFCON2025

Viongozi wa Afrika wampongeza Museveni kwa ushindi wa Uchaguzi Mkuu
19 Januari, 2026
Rais Chapo avunja safari ya Davos kwa sababu ya mafuriko Msumbiji
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imenukuu vyanzo vya serikali vikikadiria kuathirika kwa zaidi ya watu 400,000

19 Januari, 2026
Nigeria yauwa magaidi 40 wa Boko Haram
Jeshi la Anga limesema operesheni zilizolenga kundi la kigaidi zilifanyika katika jimbo la Borno kaskazini-mashariki.

19 Januari, 2026
Museveni asema upinzani ‘una bahati,’ na kwamba ushindi ungekuwa mkubwa zaidi
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema katika hotuba yake ya Jumapili kuwa ushindi wake wa kishindo katika uchaguzi wa Uganda unaonyesha nguvu ya chama chake.

19 Januari, 2026
Afrika Kusini yatangaza hali ya hatari ya kitaifa kufuatia mafuriko mabaya yanayohusisha pia Msumbiji
“Ninaainisha janga hili kuwa janga la kitaifa,” — Elias Sithole, Mkuu wa Kituo cha Usimamizi wa Majanga.

18 Januari, 2026
Watu saba wauawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za RSF sokoni huko Kordofan, Sudan
Watu saba waliuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) ambacho kililenga soko maarufu huko Kordofan Kusini, kikundi cha madaktari kilisema Jumamosi.

18 Januari, 2026
Rais wa Guinea Doumbouya aapa kutotumia mamlaka kwa manufaa binafsi
Doumbouya ameshinda uchaguzi wa Desemba kwa 86.7% ya kura.

17 Januari, 2026
Senegal Yalaani Usalama na Vifaa Kabla ya Fainali ya AFCON
Kocha ameonya kwamba tukio la kupigwa na umati kwenye kituo cha treni lilikuwa hatari kwa wachezaji.

17 Januari, 2026
Museveni Ashinda Uchaguzi kwa Kishindo, Upinzani Walalamika
Tume ya Uchaguzi imetangaza Museveni mshindi kwa asilimia 71.65 ya kura, huku Bobi Wine akipata asilimia 24.72.

17 Januari, 2026
Polisi Uganda Wakanusha Kukamatwa kwa Bobi Wine Kabla ya Matokeo ya Urais
Polisi wamesema Bobi Wine hakuwa amekamatwa na taarifa hizo ni za kupotosha.

17 Januari, 2026
Sisi Akubali Ofa ya Trump ya Kusuluhisha Mgogoro wa Bwawa la Nile
Misri imesisitiza kuwa usalama wa maji ya taifa ni kipaumbele na imekaribisha juhudi za Marekani kuingilia kati mzozo wa Bwawa la GERD.



