Polisi 3 wauawa, 7 watekwa nyara katika shambulio la silaha Nigeria

Mamlaka zinasema kuwa watu wasiojulikana na waliokuwa na silaha waliwalenga maafisa hao eneo la Agu la Jimbo la Benue; washukiwa 6 wamekamatwa
24 Septemba, 2025
Siku ya mapumziko Botswana kusherehekea ushindi wa mbio za Tokyo

Collen Kebinatshipi, ambaye pia alishinda mbio za mita 400, alikimbia vizuri katika mkondo wa mwisho na kujinyakulia medali ya dhahabu wakati Botswana ikiishinda Marekani na Afrika Kusini katika mbio za kusisimua.
24 Septemba, 2025
Sudan Kusini: Kesi ya aliyekuwa makamu wa rais, Machar yaanza

Chama cha Machar cha SPLM-IO kimekataa mashtaka dhidi yake na wengine 20 ambayo ni pamoja na mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa madai ya kuhusika katika uvamizi wa wanamgambo wa Jeshi la White Army.
24 Septemba, 2025
Kenya yaitangaza Muslim Brotherhood na Hizb-ur-Tahrir kuwa makundi ya kigaidi

Serikali ya Kenya imetangaza rasmi mashirika ya Muslim Brotherhood na Hizb-ur-Tahrir kuwa mashirika ya kigaidi chini ya Sheria ya Kuzuia Ugaidi (Kipengele cha 59B).
24 Septemba, 2025

Salum Mwalim wa CHAUMMA ‘ahaidi neema’ kwa watumishi wa umma Tanzania

Shirika la ndege la Tanzania lazindua safari kati ya Dar es Salaam na Lagos

Jeshi la DRC limeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo ya waasi wa M23

DRC itabadilisha marufuku ya usafirishaji wa kobalt na mfumo wa mgao kuanzia Oktoba 16

Mutharika ashika uongozi wa awali katika uchaguzi wa Malawi
24 Septemba, 2025
Guinea inafanya kura ya maoni kwa ajili ya kurudi kwa utawala wa kiraia
Kiongozi wa muda Mamady Doumbouya hajasema iwapo atagombea uchaguzi baada ya kura ya maoni kuhusu katiba mpya.

24 Septemba, 2025
Makamu wa rais wa zamani wa Sudan Kusini Machar ‘tayari’ kwa kesi ya mauaji na uhaini
Riek Machar atahudhuria “mahakama maalum” kwa kikao cha kwanza Jumatatu kufuatia wito, wakili wake.

24 Septemba, 2025
Wafanyakazi wa uchaguzi wa Malawi wakamatwa kwa madai ya kuvuruga hesabu za kura
Polisi walisema makarani wanane wa uandikishaji data za uchaguzi walikamatwa karibu na mji mkuu, Lilongwe, wakishukiwa “kudanganya data”.

24 Septemba, 2025
Sudan : Mauaji ya kikabila yameongezeka maradufu mwaka huu , yasema UN
Takriban raia 3,384 waliuawa kati ya Januari na Juni, wengi wao wakiwa Darfur, kulingana na ripoti mpya ya Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu.

24 Septemba, 2025
Mashirika ya utangazaji ya Malawi yasitisha kujumlisha kura huku wakisubiri matokeo rasmi
Angalau vyombo vya habari vinne vya televisheni, ikiwa ni pamoja na shirika la utangazaji la umma la MBC, viliondoa mabango yao ya matokeo waliyokusanya kutoka kwa vituo vya kupigia kura.

24 Septemba, 2025
Gharama ya ulipaji madeni Uganda kikwazo cha maendeleo katika sekta muhimu
Benki Kuu ya Uganda na nyengine zimeonya kuwa gharama ya ulipaji madeni inatafuna rasilimali zinazohitajika katika sekta nyengine muhimu kama vile elimu na afya.

24 Septemba, 2025
Kenya yaboresha uwezo wake wa kubaini Polio
Maabara ya taifa imeimarishwa na teknolojia ya hali ya juu ya kupanga jeni, uwezo wa kutenganisha virusi, majukwaa ya uchunguzi wa molekuli, na uhifadhi ulioongezwa ambao utapunguza wakati wa uchunguzi wa virusi vya polio na magonjwa mengine.

24 Septemba, 2025
Vyama vikuu vya Malawi vyadai kushinda uchaguzi kabla ya matokeo rasmi kutangazwa
Vyama vya wagombea wawili wakuu katika uchaguzi wa rais wa Malawi vilitangaza ushindi Alhamisi, huku vikikemewa na tume ya uchaguzi ambayo bado haijatangaza matokeo.

18 Septemba, 2025
Idadi ya vifo vya Ebola nchini DRC yafikia 31
Haya yanajiri wakati Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus anasema kuwa shirika hilo limepeleka tani 14 za vifaa vya matibabu, na vile vile kutuma watalaamu wa afya 48 katika kituo maalumu cha kushughulikia maradhi hayo nchini DRC.

18 Septemba, 2025
Tanzania yashuka viwango vya ubora vya FIFA, Uganda yapanda
Kulingana na orodha hiyo iliyotolewa Septemba 18, 2025, Hispania imechupa hadi nafasi ya kwanza ikitokea ya pili, huku Argentina ikiporomoka hadi nafasi ya tatu kutokea ya pili.


