IShowSpeed ni nani, nyota wa mtandaoni aliyevuma Kenya?

IShowSpeed, anayejulikana pia kama Speed, ni nyota maarufu wa mitandao ya kijamii kutoka Marekani ambaye hivi karibuni amevutia hisia za maelfu ya vijana barani Afrika, hasa Kenya.
12 Januari, 2026
China yapinga uingiliaji kati wa mataifa ya kigeni nchini Tanzania kutokana na uchaguzi wenye utata

Beijing inasema “inapinga nguvu yoyote ya nje kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania” na inasisitiza uungaji mkono wake kwa “uhuru na usalama wa taifa”.
11 Januari, 2026
Ethiopia yaanza ujenzi wa ‘uwanja wa ndege mkubwa zaidi barani Afrika’

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bishoftu utakuwa na nafasi ya kuegesha ndege 270 na uwezo wa kubeba abiria milioni 110 kwa mwaka, Waziri Mkuu Abiy Ahmed Ali alisema.
10 Januari, 2026
Trump aonya mashambulizi zaidi ya anga ya Marekani Nigeria kufuatia mauaji ya Wakristo

Usalama hauchagui dini, magaidi huua wote bila ubaguzi.
10 Januari, 2026

Makundi ya waasi kuteka eneo la Uvira karibu na mpaka wa DRC na Burundi yatia hofu katika kanda

Rais Samia wa Tanzania afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ndani ya siku 54

Somalia yachunguza madai ya kutumika kwa anga yake na kiongozi wa Yemen anayetaka kujitenga

Bobi Wine kutathmini mikataba ya mafuta iwapo atachaguliwa kuwa rais Uganda

Mshambuliaji wa Algeria awaomba radhi mashabiki wa DRC
7 Januari, 2026
Rais Touadera amualika Putin wa Urusi kutembelea Jamhuri ya Afrika ya Kati
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin-Archange Touadera, amemualika Rais wa Urusi Vladimir Putin kutembelea nchi yake, shirika la habari la serikali la Urusi TASS liliripoti siku ya Jumatano.

7 Januari, 2026
Waziri wa zamani wa sheria Nigeria Malami apewa dhamana katika kesi ya fedha zilizoibwa
Waendesha mashtaka wanasema Abubakar Malami alitakatisha fedha za umma kati ya 2015 na 2023 kupitia washirika wake.

7 Januari, 2026
Trump aongeza Uganda, na mataifa mengine 11 ya Afrika kwenye orodha ya dhamana ya visa ya Marekani
Marekani imeongeza mara tatu idadi ya nchi zinazotakiwa raia wake kulipa dhamana ya hadi $15,000 ili kutuma maombi ya visa.

6 Januari, 2026
Jeshi la Benin lawaua ‘magaidi’ 45 kaskazini mwa nchi
Siku ya Jumanne jeshi la Benin limesema limewaua “magaidi” 45 katika kipindi cha miezi mitatu ya operesheni dhidi ya ugaidi kaskazini mwa Benin.

6 Januari, 2026
Nchi za Afrika zaunga mkono Venezuela baada ya operesheni ya kijeshi ya Marekani iliyomlenga Maduro
Mataifa ya Afrika yametoa wito wa kuheshimiwa kwa sheria ya kimataifa kufuatia kutekwa kwa Rais Nicolas Maduro, Cilia Flores na Marekani

6 Januari, 2026
Somalia yashtumu ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Israel Somaliland, ikiitaja kama ‘uvamizi’
Ziara ya Gideon Saar Somaliland ni ‘uingiliaji usio wa msingi’ katika masuala ya ndani ya mwanachama huru wa Umoja wa Mataifa, inasema Wizara ya Mambo ya Nje ya Somalia

6 Januari, 2026
Mahakama ya Tunisia yawaachilia huru wafanyikazi wa NGO waliokamatwa kwa kuwasaidia wahamiaji
Wafanyakazi wa NGO walishtakiwa pamoja na wafanyakazi 17 wa manispaa.

6 Januari, 2026
Misri imepokea watalii milioni 19 mwaka 2025: Waziri
Viwanja vya ndege vya Cairo, Hurghada, Sharm El-Sheikh, na Marsa Alam, vilipokea idadi kubwa ya wageni.

6 Januari, 2026
Baraza la Makanisa nchini Kenya lajitenga na mhubiri anayedai miujiza ‘Nabii Owour’
Mhubiri David Owuor amezua mjadala mkali kufuatia madai yake ya kuwa na uwezo wa kutibu maradhi kama ukimwi na saratani na kutabiri majanga makubwa

6 Januari, 2026
Rais Touadera achaguliwa tena kuwa rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Matokeo ya awali yanaonyesha kuwa Rais Faustin-Archange Touadera ameshinda muhula wa tatu wa urais baada ya kuondolewa kwa kikomo cha mihula ya uongozi.



