4 Januari, 2026

Kenya yaomboleza ndovu maarufu ‘super tusker’ Craig, aliyefariki akiwa na umri wa miaka 54

Ndovu huyo anayeitwa Craig alikufa siku ya Jumamosi katika Hifadhi ya Kitaifa ya Amboseli, eneo lililohifadhiwa kusini mwa Kenya ambalo ni kivutio cha watalii.

kenya beloved elephant dies 95478

4 Januari, 2026

Zambia kuwa mwenyeji wa mkutano wa mawaziri wa ulinzi kuhusu mzozo wa DR Congo

Nchi katika eneo hilo zimeshangazwa na vurugu zinazoendelea ambazo tena Jumamosi zilipingana kati ya wapiganaji kutoka kundi la silaha la M23 na majeshi ya DRC.

6d5311560557122d2cced141f44d62448715ddd43a418981c7dfae4ae6323cfd

3 Januari, 2026

Mapigano mapya yamezuka kati ya vikosi vya DRC na waasi wa M23 karibu na mji muhimu wa Uvira

Mapigano makali kati ya waasi wa M23 na vikosi vya serikali yameripotiwa katika maeneo kadhaa katika eneo la Uvira.

1767433252032 f4bz5 982935648fd8d06ffe863e5c3db8f15385c1f8040ce202bdc0c563fa35297671

3 Januari, 2026

Angelina Jolie atembelea kivuko cha Rafah nchini Misri huku janga la kibinadamu likizidi kuongezeka

Jolie anatembelea kuona hali ya Wapalestina waliojeruhiwa waliohamishiwa Misri na kuangalia jinsi misaada inavyopelekwa katika eneo lililoharibiwa.

edc9b69d712501eac3c6f2cf439146b60b4376d66e7f2f27a91919c841f2a2c3

3 Januari, 2026

Raia wa Nigeria wametakiwa kurudisha mabaki kutoka mashambulizi ya anga ya Marekani

Kanda za mtandaoni zilionyesha wenyeji wakifukua vifusi na silaha zisizolipuka kwenye maeneo ya shambulio katika jimbo la Sokoto, na hivyo kuzua hofu ya milipuko mibaya.

8b0eebc7637b09a7dc43c35ba62fb28e3f5de82e59d6482b1efbee6eebcf4ad5

2 Januari, 2026

Dereva wa Anthony Joshua ashtakiwa kufuatia ajali iliyosababisha vifo

Polisi nchini Nigeria wamemshtaki dereva wa bondia Anthony Joshua kwa kosa la kuendesha gari kwa uzembe na kwa hatari, kufuatia ajali iliyosababisha vifo.

7c942698d94229e0bbebde026e0d9e1fa6a1b779bd5fe3beddcdb547df654aba

2 Januari, 2026

Timu ya Sudan inatumai mafanikio katika michuano ya AFCON yanaweza kumaliza vita

Sudan ina matumaini kuwa ushindi dhidi ya Senegal katika Kombe la Mataifa ya Afrika siku ya Jumamosi unaweza kuchochea usitishaji wa mapigano nchini humo, au hata kuleta amani ya muda mrefu, alisema kocha Kwesi Appiah siku ya Ijumaa.

cfeaf9490f5f5c7ae4378a85e2e9b1e5ac1482e0a8b45bf0251c2cce29003ba5

2 Januari, 2026

AFCON 2025: Mchakamchaka wa kutafuta nafasi za robo fainali

Mechi za robo fainali zinatarajiwa kufanyika tarehe 9 na 10 Januari, huku fainali zikifanyika Januari 18,

fd293b48dd4345a7f5849ca6d6f2eb24083d287b0b3d6947989f6368ef714409

2 Januari, 2026

Shughuli za kuwaokoa waathirika waliokwama ndani ya jengo refu lililoporomoka Nairobi zaendelea

Jengo la ghorofa nyingi lililokuwa katika hatua ya ujenzi limeporomoka katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, huku idadi ya watu isiyojulikana wakiwa wamekwama chini ya kifusi.

1767361754352 pqreth 5e77ba5f6e5b2a92099dd1a24c244ab3384646549ad8bc5936e120c1a1c4bb9a

2 Januari, 2026

Mshauri wa kamanda wa RSF na wasaidizi wake ‘wauawa’ katika shambulio la droni Sudan

Kikosi cha RSF kimesema kuwa mshauri mkuu wa usalama wa kiongozi wake ameuawa pamoja na wasaidizi kadhaa katika shambulio la ndegee isiyo na rubani ‘droni’ karibu na mji wa Zalingei.

37a79afde9b911d149f1667300aab91796ae920ea162189c7b7507577fe77062
Inapakia...