8 Septemba, 2025

Balozi wa Somalia nchini Syria awasilisha hati za utambulisho kwa kiongozi wa Syria

Balozi mteule wa Somalia nchini Syria amewasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Ahmad al-Sharaa.

686ac0c6bd974e8827696f54fd61e1a5d2a151a3ab8814650b41157e94d66693 main

7 Septemba, 2025

Sudan Kusini yamrejesha Mexico mhamiaji waliyempokea kutoka Marekani

Sudan Kusini inasema Mexico ilikuwa imetoa hakikisho kwamba aliyefukuzwa hatakabiliwa na mateso.

2025 09 06t204614z 365106852 rc2dmgacfuc9 rtrmadp 3 southsudan usa

7 Septemba, 2025

Watoto kati ya 11 waliotoweka baada ya kiboko kupindua mashua nchini Côte d’Ivoire

Watu watatu walinusurika katika tukio hilo na kuokolewa, na msako unaendelea kuwatafuta waliotoweka, alisema waziri wa serikali.

c381469283321770f6ce51e5c6b46ade71e1d0d1cc2cb3979c5746cdf1470317

6 Septemba, 2025

Jamii forums yafungiwa kwa siku 90 kwa ‘kudhalilisha serikali na Rais’ wa Tanzania

Aidha TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

0f10c4a373cfa48e9d861a0e2745174f6b545606e081b59443f0046ab2b9ba76

6 Septemba, 2025

Watu sita wamefariki na wengine 20 wanaswa kwenye mgodi wa dhahabu ulioporomoka Sudan

Juhudi zinaendelea kuwaokoa waliokwama chini ya vifusi, kulingana na afisa.

835eeb487940ae55cf1d263c6839781147ed933a99a4d90cdb5f50b02952c5e9

6 Septemba, 2025

Trump kutohudhuria mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini, na badala yake kumtuma makamu, Vance

Rais Trump mnamo Julai aliashiria kutohudhuria mkutano huo na kutuma mtu mwingine kuiwakilisha Marekani, akitaja kutoidhinisha kwake sera za Afrika Kusini.

2025 07 23t150244z 735990712 rc2gmeaz49w0 rtrmadp 3 usa safrica

6 Septemba, 2025

Marekani inaibadilisha Uganda na Eswatini kumhamishia mhamiaji mwenye utata, Garcia

Afisa wa Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani alituma barua pepe kwa wakili wa Abrego kumwambia kwamba nchi yake mpya ya kuhamishiwa sasa ni Eswatini baada ya kueleza hofu yake ya kukabiliwa na mashtaka nchini Uganda.

e3588e49c3c11ec246813a4bbb66c9bdb879c85b6c7f64a78f344c15f0c0f703

5 Septemba, 2025

Watoto 200 wafariki katika maporomoko ya ardhi Sudan – shirika la misaada

Shirika la Save the Children linasema watu 150, ikiwemo watoto 40, wamenusurika na wanatibiwa kwa sasa.

65f45de378c2ca071d50cfda13b017ed38f76a6a483a48c1cdf3033e098a05e7

5 Septemba, 2025

Mlipuko wa Mpox Afrika siyo suala la dharura duniani tena – WHO

Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa kikosi kazi cha dharura kilichoundwa baada ya mlipuko kimeshauri kuwa hali hiyo siyo ya dharura ya kimataifa tena

2b89edc7bed42851984308029029ced4c47ba8cbf3f8d110202c1ece4653e76d

5 Septemba, 2025

Waasi wa Sudan wametekeleza uhalifu dhidi ya binadamu katika mji wa El-Fasher – Umoja wa Mataifa

Uhalifu dhidi ya binadamu wa wapiganaji wa RSF ni pamoja na mauaji ya halaiki, dhulma za ngono, uporaji, na uharibifu wa maisha ya watu, wakati mwingine ikiwa pamoja na mateso na uangamizaji.

6b16cd7b7fcf30d13bd5e5ee135f93e0bad0484361c871f343e77b6c76243105
Inapakia...