Waziri Mkuu wa Ethiopia adai madini ya nchi hiyo yamekuwa yakipotea kupitia Mto Nile

Ethiopia inasema itazindua hivi karibuni bwawa lake kuu, limejengwa kwenye Mto Nile na Serikali inasema lina na uwezo wa kuzalisha megawati 6000 ya umeme ikikamilika
2 Septemba, 2025
Uchumi wa Sudan Kusini taabani huku Sudan ikifunga bomba la mafuta

Wizara ya Nishati na Petroli ya Sudan imeamuru kufungwa kwa dharura kwa vituo vya mafuta katika eneo la Heglig karibu na mpaka na Sudan Kusini kufuatia shambulio la ndege isiyo na rubani mapema Jumamosi.
2 Septemba, 2025
“Afrika inaweza kulisha dunia nzima,” asema Rais wa Senegal

Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, siku ya Jumatatu alisema kuwa Afrika inaweza kulisha dunia nzima, akisisitiza kuwa vijana lazima wawe kiini cha mageuzi ya kilimo.
2 Septemba, 2025
Rais Salva Kiir awafukuza kazi mawaziri wake watatu

Taifa hilo, ambalo lilijitenga kutoka Sudan mwaka 2011, limekumbana na hali ya machafuko kufuatia kuhasimiana kati ya Kiir na Naibu wake, Riek Machar uliopelekea kuanzishwa kwa makubaliano ya kugawana madaraka, mwaka 2018.
2 Septemba, 2025

Zaidi ya 1,000 wafariki katika maporomoko ya ardhi katika kijiji cha Sudan Magharibi

Guinea inaondoa vikwazo vya vyombo vya habari kabla ya kura ya maoni

Jaji Mkuu wa Ghana Gertrude Torkornoo afutwa kazi kwa matumizi mabaya ya mamlaka

AU yaeleza wasiwasi wake kuhusu makubaliano ya wahamiaji ya Marekani na mataifa ya Afrika

Mwanasiasa wa upinzani Uganda akataa kufika mahakamani akidai jaji ana upendeleo
1 Septemba, 2025
Maambukizi zaidi 100,000 ya kipindupindu Sudan ndani ya mwaka 1 huku kukiwa na njaa: UN
‘Sudan inakabiliwa na janga baya la njaa duniani, huku kipindupindu kikiongezeka,’shirika la OCHA limesema

1 Septemba, 2025
Afisa polisi wa Kenya afariki katika ajali ya barabarani Haiti
Maafisa polisi wanane wa Misheni ya Usaidizi ya Usalama wa Kimataifa (MSS) nchini Haiti wamejeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani Jumapili, huku afisa mmoja wa Kenya akifariki dunia.

1 Septemba, 2025
Rwanda kutoza faini wenye magari yasiyotumika
Mamlaka ya Mapato ya Rwanda (RRA) imesema wenye magari yasiyotumika huenda wakalipishwa ada mpya ya matengenezo ya barabara iwapo hawatarudisha nambari za usajili.

1 Septemba, 2025
Takriban watu 70 wamefariki katika ajali ya boti ya wahamiaji kutoka Afrika Magharibi
Watu wengine 30 wanahofiwa kufariki baada ya meli hiyo, inayoaminika kuondoka Gambia na kuwabeba raia wengi wa Gambia na Senegal, kuzama katika pwani ya Mauritania mapema Jumatano, wizara ilisema katika taarifa yake.

1 Septemba, 2025
Kamanda wa zamani wa Israel aghairi safari ya Afrika Kusini, akihofia kukamatwa
Doron Almog, kamanda wa zamani wa Israel, amekatisha safari yake nchini Afrika Kusini kwa hofu ya kukamatwa kutokana na mchango wake katika vita vya mauaji ya halaiki huko Gaza.

1 Septemba, 2025
Somalia inaipongeza Uturuki kwa Siku ya Ushindi, inasifu uhusiano thabiti
Somalia imeipongeza Uturuki kwa Siku yake ya 103 ya Ushindi, ambayo iliadhimishwa mnamo Agosti 30, 2025.

31 Agosti, 2025
Chama cha upinzani Tanzania CHAUMMA, kimezindua rasmi Jumapili Kampeni yake ya Urais
Katika hotuba yake, mgombea Urais Salum Mwalimu alizungumzia uwezeshaji wa watu mashinani, na kupendekeza uingiliaji kati wa moja kwa moja kama kufufua uchumi wa ndani na viwanda vya enzi za ukoloni.

30 Agosti, 2025
Hemetti wa RSF aapishwa kama kiongozi wa serikali sanjari huku raia wakiuawa Kordofan
Jeshi la Sudan linasema watu watano kutoka familia moja, ikiwemo wasichana wawili wadogo, waliuawa kwa shambulio la RSF la ndege zisizo na rubani Kaskazini mwa Jimbo la Kordofan kusini mwa Sudan.

29 Agosti, 2025
Mzimu wa Shakahola wazuka tena Kenya, miili 32 imefukuliwa.
Miili 32 imefukuliwa wiki hii katika kijiji cha Kwa Binzaro, karibu na Shakahola, Kaunti ya Kilifi nchini Kenya.

29 Agosti, 2025
Kampeni zang’oa nanga Tanzania, upinzani hauonekani
Kampeni za Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania, zimeanza rasmi. Kitakuwa ni kipindi cha panda shuka kwa vyama vya siasa nchini humo ambapo kila chama kitakuwa kinanadi sera zake ili kupata ridhaa ya wananchi


