22 Desemba, 2025

Waziri wa uvuvi wa Somalia apongeza ushirikiano wa kimkakati na Uturuki

Somalia, Uturuki waimarisha uhusiano katika sekta ya uvuvi kwa kutia saini makubaliano mapya

4503c1c4438f1707e6664a2944a73b00ccb4036e7a8064c35d67dda980b9659c

22 Desemba, 2025

Mapigano yarindima mji wa mpaka wa DRC wa Uvira kati ya vikosi vya serikali na waasi wa M23

Mapigano yaliibuka siku ya Jumatatu karibu na mji wa Uvira katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kati ya waasi wa M23 na wapiganaji wanaounga mkono serikali, siku chache baada ya M23 kuahidi kuondoka katika mji huo, vyanzo vya eneo hilo vilisema.

8a7f85f3472704ab714b16cacc50bd2d4993ae30ef68cdc357c2b1c3b0f27cd2

22 Desemba, 2025

Kenya yawarudisha nyumbani raia 119 waliotapeliwa Myanmar

Serikali ya Kenya imewarejesha nyumbani Wakenya 119 waliokuwa wamehadaiwa kwa ahadi za uongo za kazi katika baadhi ya nchi za Asia ya Kusini-Mashariki.

180b72037029d1adc9936f838d970129ff298fa3b666710e8f17dc8cc6c14b84 main

22 Desemba, 2025

Uturuki yatilia mkazo ushirikiano wa kijeshi na usalama na mataifa ya Afrika

Kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na mataifa ya Afrika ni sehemu ya mkakati wa muda mrefu wa kuchangia amani na uthabiti wa bara hilo.

182

22 Desemba, 2025

Algeria Yaanzisha Hatua za Kisheria Kuutaja Ukoloni wa Ufaransa kama Uhalifu wa Kihistoria

Muswada huo unahusu kipindi cha ukoloni wa Ufaransa nchini Algeria kati ya mwaka 1830 na 1962.

176

22 Desemba, 2025

Zaidi ya Wapiganaji 200 Wajisalimisha kwa Jeshi la Ethiopia katika Oromia Magharibi

Zaidi ya wapiganaji 200 waliokuwa na silaha wamejisalimisha kwa vikosi vya serikali katika eneo la Oromia Magharibi.

175

22 Desemba, 2025

AFCON kufanyika kila baada ya miaka minne kuanzia mwaka 2028

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limetangaza kuwa Kombe la Mataifa ya Afrika litafanyika kila baada ya miaka minne kuanzia mwaka 2028.

173

22 Desemba, 2025

Mabalozi wa Uturuki barani Afrika watembelea Jumba la Utamaduni wa Afrika mjini Ankara

Mabalozi wa Uturuki wanaohudumu barani Afrika walitembelea Jumba la Utamaduni wa Afrika mjini Ankara kama sehemu ya Kongamano la Mabalozi.

172

22 Desemba, 2025

DAWASA yaanza kuchimba visima 14 kukabiliana na uhaba wa maji Dar es Salaam

DAWASA imeanza utekelezaji wa mpango wa kuchimba visima 14 jijini Dar es Salaam ili kuongeza upatikanaji wa maji kwa wananchi.

4b2591b5a680220acaa2ded521f97b568d0ac168046b5b1f24f87b3643fb1a12

22 Desemba, 2025

Serikali ya Nigeria yaokoa wanafunzi wote waliotekwa katika shule ya Kikatoliki

Serikali ya Nigeria imethibitisha kuwa wanafunzi wote waliotekwa nyara katika shule ya Kikatoliki ya St Mary’s jimbo la Niger wameokolewa salama, baada ya kundi la mwisho la wanafunzi 130 kuachiliwa.

165
Inapakia...