Wazima moto wapambana na moto wa msitu kaskazini mwa Morocco huku kukiwa na wimbi la joto

Wazima moto wa Morocco waliendelea na juhudi zao siku ya Jumapili za kuzima moto uliokuwa ukiwaka msituni katika jimbo la kaskazini la Chefchaouen nchini humo.
24 Agosti, 2025
Wahamiaji kutoka Afrika Kaskazini hawajulikani walipo baada ya kuruka kutoka kwa mashua Uhispania

Kufikia Agosti 15, jumla ya 4,323 wahamiaji walifika katika visiwa hivyo tangu mwanzo wa mwaka, ambayo ni ongezeko la asilimia 77.
24 Agosti, 2025
UNESCO yataka kukomeshwa kwa utumwa wa kisasa huku matamshi ya Trump yakizua hasira

Zaidi ya Waafrika milioni 12 walikuwa watumwa wakati wa biashara ya utumwa iliyovuka Atlantiki, iliyoelezwa na wanahistoria kama moja ya uhalifu mbaya zaidi dhidi ya ubinadamu.
24 Agosti, 2025
Mwendesha mashtaka wa jeshi anataka hukumu ya kifo kwa rais wa zamani wa DRC Kabila

Joseph Kabila anashtakiwa bila kuwepo mahakamani katika kesi ya uhaini inayojumuisha mashtaka ya uhalifu wa kivita yanayohusiana na utawala wake wa takriban miaka 20.
23 Agosti, 2025

Mamilioni ya Waafrika walipotea: Trump akashifiwa kwa kudharau mambo ya kutisha ya utumwa

Maporomoko mabaya yasababisha majengo kufukiwa karibu na mji mkuu wa Guinea

CHAN 2024: Tanzania kuvunja mwiko wa kufungwa na Morocco?

Jeshi la Sudan lakanusha kushambulia kwa bomu msafara wa msaada wa WFP Darfur

Nigeria yawaondoa nchini raia wa kigeni matapeli 102, wengi wao wakiwa raia wa China
21 Agosti, 2025
Uganda yakubali kupokea wahamiaji walionyimwa kuingia nchini Marekani
Mpango huo unahusisha watu wenye rekodi za uhalifu, watoto wasio na walezi, na wale wanaosita kurudi makwao, kulingana na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo.

21 Agosti, 2025
Sudan yaanza kuijenga upya Khartoum huku vita vikiendelea
Umoja wa Mataifa (UN) inakadiria kuwa ukarabati wa miundombinu muhimu ya mji mkuu utahitaji karibu dola milioni 350, wakati ujenzi mzima wa Khartoum “utachukua miaka.”

21 Agosti, 2025
Uganda yafanya makubaliano na Trump ya kupokea wahamiaji kutoka Marekani
Uganda inakuwa nchi ya Afrika ya mwisho kukubali wahamiaji waliotimuliwa kutoka Marekani baada ya Eswatini, Sudan Kusini na Rwanda.

21 Agosti, 2025
47 wafariki huku maelfu wakiachwa bila makazi kufuatia mafuriko nchini Niger
Maelfu ya watu wamepoteza makazi yao kutokana na mafuriko ambayo yameharibu nyumba na kuua mifugo, kama ilivyosemwa na mamlaka.

20 Agosti, 2025
Watu wasiopungua 22 wanaaminika kufariki katika ajali ya boti Nigeria
Watu wasiopungua 22 wanaaminika kufariki baada ya boti kuzama kaskazini magharibi mwa Nigeria, shirika la huduma ya dharura la nchi hiyo limesema siku ya Jumatano.

20 Agosti, 2025
Mkuu wa UN asema Afrika lazima ifaidike kwanza na madini yake muhimu
Watu milioni 600 barani Afrika bado hawana umeme, Guterres aliuambia mkutano wa Tokyo

20 Agosti, 2025
Idadi ya vifo yafikia 30 katia shambulio la msikiti Nigeria
Serikali imesema kuwa mashirika ya usalama yamepelekwa katika eneo hilo ili kurudisha utulivu.

20 Agosti, 2025
Uturuki yaongeza juhudi za kupatikana kwa ‘Libya yenye umoja’
Uturuki inaunga mkono juhudi za majadiliano nchini Libya zenye lengo la kuimarisha umoja wa taifa hilo na uhuru wake.

20 Agosti, 2025
Tanzania: Chama cha CCM kufanya mchakato wa uteuzi wa wagombea ubunge, viti maalumu
Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu ambao utahusisha mchakato wa kumchagua rais, wabunge, madiwani na wajumbe wa baraza la wawakilishi, Oktoba 29, 2025.

20 Agosti, 2025
Kanya yazindua mradi wa dola milioni 165.5 kurejesha Msitu wa Mau
Msitu wa Mau ndio chanzo kikubwa zaidi cha maji nchini Kenya na mfumo muhimu wa ikolojia katika Afrika Mashariki.


