Morocco waanza vyema safari ya AFCON 2025 kwa ushindi dhidi ya Comoro

Wenyeji Morocco wameanza vyema mashindano ya AFCON 2025 baada ya kuifunga Comoro mabao 2-0 katika mechi ya ufunguzi iliyochezwa jijini Rabat.
22 Desemba, 2025
Shambulio la droni laua watu 10 katika soko la Darfur Kaskazini, Sudan

Maafisa wa uokoaji wamesema shambulio hilo limesababisha moto mkubwa katika soko la Al Harra na kuharibu mali nyingi.
22 Desemba, 2025
Marekani na Nigeria zasaini mkataba wa afya wenye msisitizo wa huduma za Kikristo

Marekani na Nigeria zimesaini makubaliano ya miaka mitano ya kuimarisha sekta ya afya, huku Washington ikiahidi kuchangia takriban dola bilioni 2.1.
21 Desemba, 2025
Somalia na Ethiopia zaimarisha mazungumzo katika maadhimisho ya Tamko la Ankara

Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wa usalama kwa misingi ya heshima ya mamlaka ya kila nchi.
21 Desemba, 2025

Bunge la Algeria lafungua mjadala kuhusu mswada wa kuharamisha utawala wa kikoloni wa Ufaransa

Mabalozi wa Uturuki katika nchi za Afrika watembelea Jumba la Afrika

Uturuki inawasilisha mzigo wa kwanza wa mahema 30,000 ya misaada nchini Sudan

Baraza la Usalama la UN laongezea MONUSCO mamlaka kwa mwaka mmoja zaidi

Umoja wa Afrika waapa uwajibikaji kwa mashambulizi ya RSF dhidi ya raia wa Sudan
20 Desemba, 2025
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rubio asema “lengo la haraka ni kusitisha mapigano” Sudan
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rubio asema “lengo la haraka ni kusitisha mapigano” katika mzozo wa Sudan

19 Desemba, 2025
Mjumbe wa UN anasema usalama bado ni tete Tripoli, magharibi mwa Libya
Hanna Tetteh ametoa wito ‘kwa wadau wote kufanya kazi pamoja kwa lengo la kutekeleza masuala ya usalama, mabadiliko muhimu ili kupata uthabiti’

19 Desemba, 2025
WHO inasema mashambulizi kwa sekta ya afya Sudan yanaendelea kuwa hatari, na kuenea kila mahali
Shirika la afya la Umoja wa Mataifa linaripoti kuwa vifo zaidi ya 1,800 kutokana na mashambulizi kwa sekta ya afya tangu 2023

19 Desemba, 2025
Sudan: Watu zaidi ya 50,000 wakimbia mapigano Kordofan, Umoja wa Mataifa unasema
Shirika la Umoja wa Mataifa linasema raia wanakimbia wakiwa na hofu huku mapigano yakienea kote katika miji muhimu katika maeneo ya Kordofan ya Sudan

19 Desemba, 2025
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa waondoka Kadugli baada ya shambulio dhidi ya walinda amani
Shambulio la droni la RSF limeua walinda amani sita kutoka Bangladesh na wengine wanane kujeruhiwa, tarehe 13 Disemba.

19 Desemba, 2025
Nigeria yafungua upya shule 47 za serikali zilizofungwa kufuatia utekaji wa wanafunzi
Katika miezi ya hivi karibuni, vikundi vya wanamgambo vimekuwa vikilenga shule za bweni, wakiteka wanafunzi na wafanyakazi, wakati mwingine kwa ajili ya fidia, na kusababisha kukatizwa kwa masomo.

19 Desemba, 2025
Majasusi wa M23 wasalia Uvira, DRC, licha ya majeshi kuondoka, wanasema wenyeji
Wakala wa M23 waliovalia kiraia wameendelea kuwepo mjini Uvira, kama ilivyosemwa na vyanzo vya ndani na usalama, baada ya waasi hao kutangaza kuwa wameanza kujiondoa katika mji wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

18 Desemba, 2025
Zaidi ya raia 50,000 wameondoka katika makazi yao eneo la Kordofan, Sudan sababu ya usalama: UN
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloratibu uhamiaji limerekodi matukio 39 ambayo yamesababisha watu kuondoka kwenya makazi yao kutoka eneo la Kordofan tangu Oktoba 25

18 Desemba, 2025
Burkina Faso, Mali, Niger yaanzisha benki ya uwekezaji kufadhili miradi ya miundombinu
Muungano wa Mataifa ya Sahel (AES), yanayojumuisha Mali, Burkina Faso na Niger, yameanzisha benki ya uwekezaji siku ya Jumatano kufadhili miradi mikubwa ya miundombinu na kiuchumi kote katika kanda.

18 Desemba, 2025
Mapato ya Mauzo ya Nje Uganda Yakaribia Kuongezeka Maradufu kutokana na Kahawa na Dhahabu
“Mapato ya Uganda kutokana na mauzo ya bidhaa nje yameongezeka kwa kiasi kikubwa, yakichochewa na kahawa, kakao na dhahabu,” imesema ripoti ya Wizara ya Fedha.



