Mali yawatia nguvuni wanajeshi, raia wa Kifaransa kwa kuvuruga amani nchini humo

Kati ya waliokamatwa, ni pamoja na raia wa Ufaransa, aliyetambulika kama Yann Vezilier.
15 Agosti, 2025
Mahakama Kenya yapigia msumari sheria ya kustaafu miaka 60

Uamuzi huo ulitolewa katika kesi iliyowasilishwa na raia mmoja, ambaye alidai kuwa kuwataka wafanyakazi kustaafu wakiwa na miaka 60 – au 65 ni ukiukaji wa haki za kikatiba za usawa kwa watu wenye ulemavu.
15 Agosti, 2025
Zaidi ya mataifa 30 yahimiza kusitishwa kuzingirwa kwa mji wa El Fasher nchini Sudan

Maafisa wakuu kutoka zaidi ya nchi 30 na mashirika ya kimataifa siku ya Alhamisi walihimiza kusitishwa mara moja kuzingirwa wa El Fasher katika jimbo la Darfur Kaskazini mwa Sudan.
15 Agosti, 2025
Watu wasiopungua 25 wamefukiwa kwenye mgodi mmoja kaskazini mwa Tanzania

Juhudi za uokoaji zinaendelea katika mgodi mmoja nchini Tanzania baada ya watu wasiopungua 25 kufukiwa, Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan alisema siku ya Alhamisi.
14 Agosti, 2025

Kuridhia kwa serikali ya Eswatini kupokea waliotimuliwa Marekani kwapinga mahakamani

Watu kadhaa wafariki Sudan kutokana na kipindupindu ‘kibaya’ kuwahi kutokea ndani ya miaka mingi

Air Tanzania mbioni kuanza safari za Dar es Salaam-Lagos

Upinzani Uganda wanajaribu kufuta sheria ya wananchi kushtakiwa katika mahakama ya kijeshi

Kiongozi wa Umoja wa Mataifa ashtumu mashambulizi ya RSF El Fasher, katika kambi ya wakimbizi Sudan
13 Agosti, 2025
Afrika Kusini yaeleza ripoti ya Marekani kuhusu haki kuwa ‘siyo sahihi
Afrika Kusini imeielezea ripoti hiyo “kuwa na mapungufu” ambayo Marekani inasema hali ya haki za binadamu Afrika Kusini “imekuwa mbaya” , siku chache baada ya serikali ya Trump kuiwekea ushuru wa asilimia 30 kwa bidhaa zao nyingi wanazouza nje.

13 Agosti, 2025
Zimamoto yapambana kuzima moto katika msitu kaskazni mwa Morocco
Morocco imekuwa na matukio ya moto wa msituni 382 mwaka 2024, na kusababisha uharibifu wa hekta karibu 874

13 Agosti, 2025
Sudan Kusini yakanusha mazungumzo na Israel kuhusu kuwapa makazi Wapalestina
Madai hayo ‘hayana msingi na hayaashirii msimamo au sera rasmi’ ya serikali, Wizara ya Mambo ya Nje imesema

13 Agosti, 2025
Kenya yafanya mazungumzo na Iran ya kuondoa marufuku ya kununua chai yake
Iran ilipiga marufuku ununuzi wa chai kutoka Kenya ikichochewa na madai ya biashara mbovu ya uhalifu iliyohusisha kampuni moja ya Kenya.

13 Agosti, 2025
Marekani yaiwekea vikwazo kundi la wapiganaji, makampuni ya uchimbaji madini haramu nchini DRC
Marekani imetangaza vikwazo dhidi ya kundi lenye silaha linaloshirikiana na jeshi la Congo pamoja na kampuni ya uchimbaji madini nchini humo na wafanyabiashara wawili kutoka Hong Kong kwa kutumia silaha na uuzaji wa madini haramu.

13 Agosti, 2025
Ufaransa inakiri ‘kuvuruga amani ya Cameroon’ baada ya ukoloni
Kati ya 1956 na 1961, vita vya Ufaransa dhidi ya uhuru wa Cameroon viligharimu “makumi ya maelfu ya maisha” na kuwaacha mamia kwa maelfu kuyahama makazi yao, ripoti rasmi ilisema.

13 Agosti, 2025
Maelfu ya watu wamehamishwa kusini mwa Sudan kutokana na mapigano mapya kati ya jeshi na RSF
Maelfu ya wananchi wamepokonywa makazi yao katika Kadugli na El-Fasher kusini mwa Sudan kutokana na mapigano mapya kati ya jeshi na kikosi cha paramilitari cha RSF.

13 Agosti, 2025
Sisi anasema maji ya Nile ni ‘uhai halisi’ wa Misri, anataka ushauri kuhusu matumizi yake
Rais wa Misri Abdel Fattah el Sisi alikataa hatua zozote za upande mmoja kwenye Mto Nile, akitoa onyo kwamba yeyote anayeamini kuwa Misri itapuuza haki zake za maji “amekosea.”

12 Agosti, 2025
Mzize ‘Goal Machine’: Mshambulizi mwenye ari kubwa aliyelenga macho kwa ubingwa wa CHAN
Kwa Tanzania, ulikuwa ni zaidi ya ushindi—ulikuwa ushindi wa tatu mfululizo wa hatua ya makundi na tikiti ya kihistoria ya kutinga hatua ya robo fainali ya Mashindano ya TotalEnergies African Nations Championship (CHAN) 2024.

12 Agosti, 2025
Wanaoshukiwa kuwa waandamanaji wachoma jengo la serikali Afrika Kusini
Waziri wa Mambo ya Ndani Leon Schreiber anasema idara inakusanya ushahidi na itaandaa mashtaka ya jinai dhidi ya wale waliohusika


