Makamu wa rais wa zamani wa Sudan Kusini Machar ‘tayari’ kwa kesi ya mauaji na uhaini

Riek Machar atahudhuria “mahakama maalum” kwa kikao cha kwanza Jumatatu kufuatia wito, wakili wake.
24 Septemba, 2025
Wafanyakazi wa uchaguzi wa Malawi wakamatwa kwa madai ya kuvuruga hesabu za kura

Polisi walisema makarani wanane wa uandikishaji data za uchaguzi walikamatwa karibu na mji mkuu, Lilongwe, wakishukiwa “kudanganya data”.
24 Septemba, 2025
Sudan : Mauaji ya kikabila yameongezeka maradufu mwaka huu , yasema UN

Takriban raia 3,384 waliuawa kati ya Januari na Juni, wengi wao wakiwa Darfur, kulingana na ripoti mpya ya Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu.
24 Septemba, 2025
Mashirika ya utangazaji ya Malawi yasitisha kujumlisha kura huku wakisubiri matokeo rasmi

Angalau vyombo vya habari vinne vya televisheni, ikiwa ni pamoja na shirika la utangazaji la umma la MBC, viliondoa mabango yao ya matokeo waliyokusanya kutoka kwa vituo vya kupigia kura.
24 Septemba, 2025

Gharama ya ulipaji madeni Uganda kikwazo cha maendeleo katika sekta muhimu

Kenya yaboresha uwezo wake wa kubaini Polio

Vyama vikuu vya Malawi vyadai kushinda uchaguzi kabla ya matokeo rasmi kutangazwa

Idadi ya vifo vya Ebola nchini DRC yafikia 31

Tanzania yashuka viwango vya ubora vya FIFA, Uganda yapanda
18 Septemba, 2025
Misri yasema bangili ya dhahabu yenye umri wa miaka 3,000 iliibiwa na kuyeyushwa
Wizara hiyo ilisema washukiwa walikamatwa na mapato kutokana na mauzo hayo, yenye thamani ya takriban pauni 194,000 za Misri ($4,000).

18 Septemba, 2025
Tofauti ya uchaguzi wa Tanzania 2025
Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi , kuna jumla ya wapiga kura 37,655,559 waliojisali, ikiwa ni ongezeko la asilimia 26 ikilinganishwa na idadi ya wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

18 Septemba, 2025
Ghana kupokea wahamiaji 40 zaidi wa Afrika Magharibi waliotimuliwa kutoka Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje amesema uamuzi wa Ghana uliongozwa na masuala ya kibinadamu baada ya kuchunguza matendo magumu ya watu waliofukuzwa nje ya nchi.

18 Septemba, 2025
Wakimbizi 61 kutoka Sudan wafa maji katika ajali ya meli Libya: Ripoti ya UNCHR
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi limesema ni watu 13 pekee walionusurika baada ya boti iliyokuwa imebeba wakimbizi 74 kutoka Sudan kuzama katika pwani ya Libya.

17 Septemba, 2025
Vurugu Niger: Wenyeji waliuawa wakati wa sherehe ya ubatizo
Mashambulizi haya yametokea katika mkoa wa Tillaberi, karibu na Burkina Faso na Mali, ambapo vikundi vya watuhumiwa vinavyohusishwa na Al-Qaeda na Daesh viko hai.

17 Septemba, 2025
Raia wa Malawi wanasubiria matokeo ya uchaguzi wa urais uliokuwa na ushindani mkali
Matokeo kutoka vituo vya upigaji kura yanatumwa katika vituo vya kuhesabu kura za majimbo kabla ya kutumwa katika kituo kikuu cha kuhesabu kura.

17 Septemba, 2025
Ndege isiyokuwa na rubani yawajeruhi wanafunzi nchini Rwanda
Kulingana na jeshi la Taifa la Rwanda, UAV hiyo ilikuwa sehemu katika mazoezi ya kawaida

17 Septemba, 2025
Kenya yatoa hati ya kukamtwa kwa raia wa Uingereza kufuatia mauaji ya Mkenya mwaka 2012
Mwaka 2012, Agnes Wanjiru alipatikana akiwa amefariki ndani ya tanki la majitaka katika Hoteli ya Lion’s Court katikati ya mji wa Nanyuki, baada ya kuonekana kwa mara ya mwisho akiwa na kundi la wanajeshi wa Uingereza katika hoteli hiyo.

17 Septemba, 2025
Uganda kukopa zaidi ya dola milioni 350 kuendesha miradi yake
Mkopo huo ni kwa ajili ya kuunganisha gridi ya umeme na taifa jirani la Sudan Kusini.

17 Septemba, 2025
Mahakama ya Afrika Kusini yatupa nje kesi ya kukataza mwili wa Lungu kurudishwa Zambia
Mahakama kuu nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya familia ya marehemu Rais wa Zambia Edgar Lungu iliyotaka kusimamisha kurejeshwa kwa mwili wake Zambia kwa mazishi.




